Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIMBA KUYEYUKA (BLIGHTED OVUM) INATOKEAJE?-2

Leo naendelea kuelezea tatizo la mimba kuyeyuka linalowakabili wanawake wengi.
DALILI ZA MIMBA KUYEYUKA
Dalili za mimba kuyeyuka, mwanamke katika hatua za awali anakuwa na dalili zote za ujauzito kama vile kufunga kupata hedhi ambapo anaweza kufunga hata miezi mitatu. Awali anakuwa na dalili nyingine za ujauzito kama kichefuchefu, matiti kujaa na hata kutapika, kipimo cha mkojo kwa Ultrasound kuonesha kwamba ni mjamzito,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MIMBA KUYEYUKA (BLIGHTED OVUM) INATOKEAJE?

TATIZO hili pia huitwa ‘anembryonic gestation’. Hutokea pale mfuko wa mimba unapoendelea kukua bila ya kuwa na mtoto ndani. Kifuko cha mimba huitwa ‘gestational sac’ na mtoto ni ‘embryo’. HALI HALISI
Mwanamke anakuwa mjamzito ambapo ana dalili zote za ujauzito na katika wiki sita za mwanzo akifanya Ultrasound mtoto anaweza kuonekana lakini baada ya hapo dalili za mimba zinaanza kupungua...

 

9 years ago

BBC

Africa blighted by multiple Jihadist threats

Many African countries are struggling with the threat posed by fundamentalist groups and there is a great need for counterinsurgency efforts, says Tomi Oladipo.

 

11 years ago

GPL

SABABU 3 NDOA YA VICKY KAMATA KUYEYUKA

Stori: WAANDISHI WETU Hadi gazeti hili linaondoka kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza jijini Dar juzi saa 10:00 jioni, ndoa ya Mbunge Vicky Kamata iliyokuwa ifungwe hapo iliyeyuka.
Vicky Kamata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya UVCCM, Mkoa wa Geita alikuwa afunge ndoa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles wa jijini Dar. Vicky Kamata akiwa katika  pozi na mwanaume...

 

10 years ago

Michuzi

DIAMOND ASEMA WASHINGTON DC ITAKUWA CRAAAAZY DEC 6 -TICKET ZINAZIDI KUYEYUKA NUNUA USIJEJILAUMU

     TANZANIA ALL STARS -WIMBO MAALUMU WA MIAKA 53 YA UHURU 
$100 (INCLUSIVE)3 COURSE  DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARSPONSORSHIP  LEVELS STILL AVAILABLE TICKET ZINAPATIKANASAFARI RESTAURANT4306 GEORGIA AVENUE,NWWASHINGTON,DC,20011ORONLINEWWW.DIAMONDUSATOUR.COMORCALL301-661-6207 *DMK   240-603-7353*LATIFA240-764-9970*JULIA           202-830-8970*ATHUMANI    240-467-7350*HELENA     ...

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO- DIAMOND ASEMA WASHINGTON DC ITAKUWA CRAAAAZY DEC 6 -TICKET ZINAZIDI KUYEYUKA NUNUA USIJE JILAUMU !

    
TANZANIA ALL STARS -WIMBO MAALUMU WA MIAKA 53 YA UHURU 
$100 (INCLUSIVE)3 COURSE  DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARSPONSORSHIP  LEVELS STILL AVAILABLE TICKET ZINAPATIKANASAFARI RESTAURANT4306 GEORGIA AVENUE,NWWASHINGTON,DC,20011ORONLINEWWW.DIAMONDUSATOUR.COMORCALL301-661-6207 *DMK   240-603-7353*LATIFA240-764-9970*JULIA           202-830-8970*ATHUMANI    240-467-7350*HELENA     ...

 

10 years ago

Vijimambo

NILIWAHI KUTOA MIMBA MOJA TU YA KANUMBA KWA VILE NILIKUWA MDOGO SANA, WANAO SEMA NIMETOA MIMBA NYINGI NI WAONGO






Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani