Minenguo Extra Bongo yapagawisha mashabiki
MASHABIKI wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’, juzi usiku walibaki midomo wazi baada ya wanenguaji wake wa kiume kucheza staili ya kipekee....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSIKINDE YAPAGAWISHA MASHABIKI DARLIVE
11 years ago
GPLJAHAZI YAPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE
11 years ago
GPLMASHAUZI CLASSIC YAPAGAWISHA MASHABIKI NDANI YA MANGO GARDEN
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvF9Axv7IMTqNvNZOhRfE1wb4-n51-rbqtXYtGeZHJD8bNMckvf19tdu2k*3pafV0tQbMbHUdB8Gk167q1uW1S2/EXTRABONGO3.jpg?width=650)
EXTRA BONGO MZIGONI
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Muumini apagawisha Extra Bongo
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Muumini Mwinjuma, aliwapagawisha mashabiki wakati akiimbia bendi ya Extra Bongo katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi. Muumini alikuwa kivutio kikubwa pale alipoimba nyimbo zake...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Extra Bongo yapata msiba
MKURUGENZI Msaidizi wa bendi ya Extra bongo, Shuweya Khamis ‘Mama Shushuu’, amefariki dunia jana . Mama Shushuu ambaye pia ni mke wa Mkurugenzi Mkuu wa bendi hiyo Ally Choki amefariki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHRc9kmhhf00Rvhmpy-0zoIS94zbcyrMesbd3szC9lqmHNr0W8IMf*HVreOTtUwNp-p3SqFPti89kXR0vt98cGV/banza.jpg?width=650)
BANZA AJISALIMISHA EXTRA BONGO
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Muumini kuwapokea Extra Bongo Mwanza
MUIMBAJI nguli wa muziki wa Dansi hapa nchini, Mwijuma Mumini anatarajia kuipokea bendi ya muziki huo ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ itakapovamia Kanda ya Ziwa katika sikukuu ya Idd....
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Muumini awasubiri Extra Bongo Mwanza
MUIMBAJI nguli wa muziki wa dansi nchini, Mwinjuma Muumini anatarajia kuipokea bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ itakapovamia Kanda ya Ziwa katika Sikukuu ya Idd. Kwa mujibu wa Mkurugenzi...