Mishahara serikalini kuwiana
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi – Utumishi, kuwianisha mishahara ya watumishi wa wakala za Serikali, ili kusiwe na tofauti kubwa kati ya watumishi wa juu na wa chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Aug
‘Mfumo ndiyo uliochelewesha mishahara serikalini’
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Girl Guides yaomba mishahara serikalini
CHAMA cha Tanzania Girl Guides, kimeiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuwalipa mishahara makamishna wa chama hicho ili kuweza kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Wito huo ulitolewa jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Vijimambo24 Nov
11 years ago
Mwananchi13 Jun
BAJETI 2014/2015: Kodi ya mishahara yapungua kiduchu, mishahara juu
11 years ago
Habarileo02 May
Mishahara kupanda
RAIS Jakaya Kikwete, amewaahidi wafanyakazi nchini kuwa katika mwaka ujao wa fedha ambao Mpango wa Bajeti umeonesha kuwa itakuwa ya Sh trilioni 19.7, Serikali itapandisha mishahara ya wafanyakazi.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Mishahara Mbeya City
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Kodi ya mishahara yashuka
Na Waandishi wetu, Dodoma/Dar
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya Salum, amesema Serikali imeendelea na uboreshaji wa masilahi ya wafanyakazi ambapo kwa mwaka huu wa fedha imepunguza tozo la kodi ya mapato ya ajira kutoka asilimia 12 ya sasa hadi asilimia 11.
Akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 mjini Dodoma jana, Waziri Saada alisema hali hiyo inakwenda na dhamira ya Serikali kuwapunguzia mzigo wa kodi wafanyakazi.
Alisema mshahara wa kima cha chini umeongezeka kutoka Sh 65,000 mwaka...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
TFF wakosa mishahara
11 years ago
Habarileo13 Jun
Kodi ya mishahara kupungua
SERIKALI imepunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.