Misri si mwenyeji wa AFCON 2017
waziri wa michezo wa Misri Khaled Abdel-Aziz amethibitisha kuwa nchi yake haitakuwa mwenyeji wa AFCON kwa mwaka 2017.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77134000/jpg/_77134617_161377467.jpg)
Libya withdraw as 2017 Afcon hosts
Libya withdraw as hosts of the 2017 Africa Cup of Nations on security grounds as Caf open up the bidding process to interested countries.
10 years ago
Mwananchi26 Aug
TFF yaomba kuandaa Afcon 2017
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza nia ya kuandaa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya Libya kujitoa kwa kutokana na sababu za kiusalama.
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Nani kuandaa fainali za Afcon 2017?
Mwenyeji wa fainali za Afcon za mwaka 2017 atajulikana leo, Jumatano, kwa kuzipigia kura Algeria, Gabon na Ghana
10 years ago
Vijimambo07 Oct
TANZANIA WAPIGWA CHINI UENYEJI WA AFCON 2017
![](http://shaffihdauda.com/wp-content/uploads/2014/10/shutterstock_73126690-774x320.jpg)
Hivyo, TFF inaelekeza nguvu zote katika kuandaa Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka U17 mwaka 2019.
Tunapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82161000/jpg/_82161360_nationscuptrophy.jpg)
Caf set to vote for Afcon 2017 hosts
Algeria, Gabon or Ghana will be chosen by Caf on Wednesday as the hosts of the 2017 Africa Cup of Nations finals.
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Cameroon ni mwenyeji wa AFCON 2019
Shirikisho la soka la Afrika limetangaza kuwa Cameroon ndiyo itakayoandaa makala ya 2019 ya kuwania ubingwa wa Afrika.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
MAONI: Serikali za Afrika Mashariki zipiganie Afcon 2017
>Shirikisho la Soka la Kenya (KFF) limeendelea kuyashawishi mashirikisho ya soka ya Tanzania, Uganda na Rwanda ili kwa pamoja waliombe Shirikisho la Soka Afrika (CAF) nafasi ya kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) za 2017.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania