MISS TZ AKIRI KUTEMBEA NA KONDOM KWENYE MKOBA SAA 24!
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9F1PUpv1LWsvglaj9ieRuhFGfSArGcjhsiSAVW82mCsQPcs21O3vCBozsUcGQHW3He-Gh8OdUG7otjWJttHubQk/MISSTZ.jpg?width=650)
Na Jelard Lucas MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga. MISS Tanzania 2011, Salha Israel akiongea na mapaparazi wa GPL (hawapo pichani). Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
‘Sina mgombea kwenye mkoba’
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Tabora Mjini, Moshi Nkonkota, amekanusha malalamiko yaliyotolewa na Mbunge Ismail Rage, kuwa ana mgombea kwenye mkoba aliyemuandaa kuwania jimbo hilo. Akizungumza na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s72-c/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s1600/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VYvD1cQL68I/Vl0Hwko5TII/AAAAAAAEHX8/PDfYs9mIjwo/s72-c/12274298_1690775631145762_1039428417739292760_n.jpg)
MISS TANZANIA USA 2015-2016 AEESHA KAMARA ASHINDA KUWA COVER GIRL KWENYE CALENDA YA MISS AFRICA USA
![](http://1.bp.blogspot.com/-VYvD1cQL68I/Vl0Hwko5TII/AAAAAAAEHX8/PDfYs9mIjwo/s640/12274298_1690775631145762_1039428417739292760_n.jpg)
11 years ago
Michuzi31 Jul
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
![IMG-20140727-WA0011](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg)
Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140727-WA0011.jpg?width=600)
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
10 years ago
Habarileo06 Oct
Wanawake wajiremba kwa kondom
MATUMIZI ya kondomu za kike yamekuwa changamoto kubwa baada ya wanawake mkoani Rukwa kukataa kuzitumia, huku wengine wakibadili matumizi yake kwa kuzivaa kama urembo wa bangili.