Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wajiremba kwa kondom

MATUMIZI ya kondomu za kike yamekuwa changamoto kubwa baada ya wanawake mkoani Rukwa kukataa kuzitumia, huku wengine wakibadili matumizi yake kwa kuzivaa kama urembo wa bangili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanawake waoga kutumia kondom’

SABABU ya wanawake kuongoza kwa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) inatokana na kukosa maamuzi juu ya kutumia kinga kama kondom wanapofanya tendo la ndoa. Hayo yalibainishwa wilayani hapa jana...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wakithiri ngono, hawatumii kondom

SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono, imebainisha haja ya elimu ya afya ya uzazi kukabili hali ya sasa ya tabia hatarishi zinazowakabili vijana wadogo.

 

11 years ago

GPL

MISS TZ AKIRI KUTEMBEA NA KONDOM KWENYE MKOBA SAA 24!

Na Jelard Lucas
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga. MISS Tanzania 2011, Salha Israel akiongea na mapaparazi wa GPL (hawapo pichani). Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya wanawake Duniani.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika.

Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SOMO LA KONDOM JAMAA KA FALL KABISA HATIMAYE DIAMOND AMPA UJAUZITO ZARI

USHAHIDI WA UJAUZITO HUOUsiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “I can not wait to have you on my hands #Chibu_Junior” akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye mikono yangu #Chibu_Junior” huku akiambatanisha na picha ya Ultrasound aliyoupiga na Zari (Kama hujui Ultrasound ni nini Tafadhali google) na baadaye Zari naye akapost picha yake akichukuliwa vipimo hivyo bila kuandika kitu chochote na kuwaacha wananchi wakimwagika na comment za kutosha kuhusu picha hizo ambazo fika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam

Ni wakati wa kizazi cha usawa katika maendeleo endelevu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: Vipigo kwa wanawake vikomeshwe

IMEKUWA ni kawaida katika nchi nyingi za Kiafrika na Asia kutokana na mfumo dume ambao umejikita hasa katika nchi hizi wanaume kuwapiga wake zao. Vipigo hivi huwa havichagui elimu, na...

 

5 years ago

Michuzi

Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake

Wafanyakazi wa hoteli ya Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake, hii ni kuona mchango wa wanawake katika jamii.Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli Johari Rotana, Amina Kapya (kulia) na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi mara baada ya hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani