MISS TZ NA.3 AFUNGUKIA USHINDI WA SITTI
![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXAyLj5-z-VtqFFbXJD-YA2jnIty7XjYVlTIhze0ijlwxy6FPxDSo1Ri7WiM3YkjNCG6Qlj*5Fvy3QKBqm1Zjde/miss.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan na Imelda Mtema Gumzo mtaani kwa sasa kwenye ulimwengu wa urembo ni ushindi wa mwanadada Sitti Abbas Mtevu ambaye hivi karibuni aliibuka mshindi katika Shindano la Miss Tanzania 2014. Tutakumbuka baada ya Sitti kutangazwa mshindi, maneno yalikuwa mengi, mara alipendelewa, mara alidanganya umri, wengine wakasema eti ana mtoto. Miss Tanzania namba tatu, Jihan Dimachk. Yameongelewa mengi na kimsingi mpaka sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qUZbsOiEeqlm3j*qiQtaVWn4cIVqRTOxJe1YmMy8bVUUlVj71MU8MtEh4k8TQt6rRy4GmtnHr4tsZ9qr07vMYGxixXzj9Cjr/jokate.jpg?width=650)
JOKATE AFUNGUKIA USHINDI WAKE!
9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe
![miss universe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe-300x194.jpg)
Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Sitti aiponza Miss Tanzania
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*Uj7aeolEUbTMgkO5c7*tcWqeEjO2VZLm9JBx0CtXiQynX6ejgRPz69lUFlQyUFU0MOwBL*NXSw8j*j58wpmal0/MMGM3002.jpg?width=650)
SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Sitti ndiye Miss Tanzania 2014
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Sitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania
REDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu katika Ukumbi wa Mliamani City, jijini Dar es Salaam. Katika...
10 years ago
TheCitizen22 Oct
Miss Tanzania refutes Sitti’s age cheating claims