Miss World 2015 imeisha na mshindi ameshatangazwa + Top 10
Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara. Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano hili la […]
The post Miss World 2015 imeisha na mshindi ameshatangazwa + Top 10 appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)

Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Miss Hispania atwaa taji la Miss World 2015
Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo akivishwa taji lake.
Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo (katikati) akiwa katika pozi na mshindi wa pili Sofia Nikitchuk kutoka Urusi (kushoto) na mshindi wa tatu Maria Harfanti kutoka Indonesia (kulia).
Mireia Lalaguna Royo akipozi na washindi wenzake walioingia 5 bora.
Miss Afrika Kusini, Liesl Laurie aliyeingia katika 10 bora.
Miss Sudan Kusini, Ajah Deng (katikati) yeye aliingia 20 bora.
5 bora.
10 bora.
MREMBO kutoka Hispania, Mireia Lalaguna...
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Spain ashinda taji la Miss World 2015

Mrembo wa Hispania, Mireia Lalaguna Royo mwenye umri wa miaka 23 ametangazwa mshindi wa taji la Miss World 2015 katika shindano lililofanyika Sanya, China Jumamosi ya Dec.19.
Miss Russia, Sofia Nikitchuk ameshika nafasi ya pili huku Miss Indonesia, Maria Harfanti amekamata nafasi ya tatu.
Miss Spain ni msomi mwenye degree ya Pharmacology na ana mpango wa kusoma Masters ya Nutrition.
Jumla ya warembo 114 walishindana, na nchi zilizoingia kwenye kumi bora ni Russia, Philippines, Guyana,...
10 years ago
Bongo514 Dec
Happiness ni #2 kwenye People’s Choice Award, akishika #1 ataingia Top 10 Miss World
9 years ago
Michuzi
VIMBWANGA VYA MISS UNIVERSE 2015 - MC STEVE HARVEY ALIPOCHEMSHA KUTANGAZA MSHINDI...
FULL SHOW CLICK BELOW
10 years ago
Africanjam.ComWORLD's HIGHEST PAID ACTORS 2015 "TOP FIVE"
Iron Man Robert Downey Jr.'s earnings skyrocketed to his highest ever annual payday, thanks to top-grossing movies such as Avengers:
JACKLIE CHAN $50M
China's biggest movie star banked big from East-West coproductions like Dragon Blade that earned him healthy back-
end participation.
VIN DIESEL $47M
Diesel sped his way to the best yearly paycheck of his career from his role in Furious 7, which grossed $1.5 billion at the box office.
BRADLEY COOPER $41.5M
Cooper's ability to...
9 years ago
Bongo522 Dec
Hatutaki kusikia blanda ya Steve Harvey, Miss Columbia ndio mshindi wa Miss Universe – Rais

Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, amesema pamoja na MC wa shindano la Miss Universe, Steve Harvey kumtangaza kimakosa Miss Colombia, Ariadna Gutierrez kuwa ni mshindi na kisha kudai mshindi halali ni Miss Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach, bado kwake Ariadna ni mshindi.
Manuel Santos alisema: Nilikuwa nikiangalia Miss Universe na familia yangu na hata tulisherehekea tuliposikia kuwa Colombia inaenda kuwa Miss Universe kwa mara ya pili mfululizo. Miss Colombia alikuwa amependeza na...
11 years ago
Michuzi
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA

MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
10 years ago
Michuzi.jpg)
MISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT