Mjadala Bunge zima la Katiba waanza
Kamati za Bunge la Katiba zitawasilisha sura moja baada ya nyingine kwenye Bunge zima kuanzia leo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Mar
Bunge zima la Katiba laongezewa kazi
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wamekubaliana sura na ibara za rasimu ya Katiba, zitakazokwama kupita kwenye kamati, zitarudishwa kwenye Bunge zima la Katiba kwa ajili ya kujadiliwa upya.
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
JK: Mjadala Bunge la Katiba ni mwafaka
11 years ago
Habarileo04 Apr
Watetea mjadala wa Katiba mpya nje ya Bunge
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba mpya nje ya bunge umetajwa kuwa ni muhimu na unasaidia wajumbe wa Bunge Maalumu kujadili kwa upana na kuweka hoja vizuri au kuzibadilisha.
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Bunge Maalumu la Katiba limechepuka kwenye mjadala
WALAU sasa tutapumzika. Watu wengi wenye akili timamu walikuwa wakikerwa na mijadala ya Bunge Maalumu la Katiba. Ni mijadala iliyokuwa imechepuka na kujadili kisichopaswa kujadiliwa. Sasa wameenda kupumzika, labda watatia...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Mchakato wa Wajumbe wa Bunge la Katiba waanza
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba
BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....