JK: Mjadala Bunge la Katiba ni mwafaka
Rais Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba Mpya ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Bunge Maalum la Katiba laendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu ya Katiba.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 10 Septemba, 2014 limeendelea na kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali Bungeni mjini Dodoma.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja masuala ya migogoro ya ardhi inayowahusisha wafugaji na wakulima, mambo ya Uraia pacha, haki ya...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Mjadala Bunge zima la Katiba waanza
11 years ago
Habarileo04 Apr
Watetea mjadala wa Katiba mpya nje ya Bunge
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba mpya nje ya bunge umetajwa kuwa ni muhimu na unasaidia wajumbe wa Bunge Maalumu kujadili kwa upana na kuweka hoja vizuri au kuzibadilisha.
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Bunge Maalumu la Katiba limechepuka kwenye mjadala
WALAU sasa tutapumzika. Watu wengi wenye akili timamu walikuwa wakikerwa na mijadala ya Bunge Maalumu la Katiba. Ni mijadala iliyokuwa imechepuka na kujadili kisichopaswa kujadiliwa. Sasa wameenda kupumzika, labda watatia...
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Mjadala Bunge Maalum la Katiba halininyimi usingizi — Rais Kikwete
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
Habarileo01 Sep
Mwafaka Katiba mpya waja
MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji Katiba mpya. Kikwete alikutana jana na vyama hivyo kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo kukiwa na ajenda mbili mojawapo ikihusu mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo06 Aug
Wanafunzi wataka mwafaka Bunge Maalum
MTANDAO wa Wanafunzi Nchini (TSNP) umewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuondoa tofauti zao na kuridhiana kupata Katiba bora badala ya kuoneshana ubabe.
10 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Mchakato wa Katiba unahitaji mwafaka wa kitaifa’