Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mchakato wa Katiba unahitaji mwafaka wa kitaifa’

Kumekuwa na hali ya sintofahamu tangu kupatikana kwa Katiba Inayopendekezwa. Hii imetokana na ukweli kwamba, Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba, umepitia misukosuko mingi, ikiwamo kupingwa na makundi mbalimbali ndani ya jamii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mchakato haukuzingatia mwafaka wa kitaifa, asema mhadhiri UDSM

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Bashiru Ally amesema mchakato wa kutunga Katiba, haukuzingatia umuhimu wa kujenga mwafaka wa kitaifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF: Uundaji Katiba unahitaji serikali ya kitaifa

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda serikali ya umoja wa kitaifa itakayosimamia na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya. Alisema kwa sasa kuna...

 

10 years ago

Habarileo

Mwafaka Katiba mpya waja

MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji Katiba mpya. Kikwete alikutana jana na vyama hivyo kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo kukiwa na ajenda mbili mojawapo ikihusu mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Mjadala Bunge la Katiba ni mwafaka

Rais Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalumu la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba Mpya ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata huu wa upitishaji Katiba unahitaji ufafanuzi

Pamoja na Bunge la Katiba kupitisha ‘Katiba Inayopendekezwa’, utata mkubwa umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitisha Katiba hiyo. Utata huo unatokana na kura za wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) upande wa Zanzibar, wajumbe waliokuwa Hijja nchini Saudi Arabia na zile za baadhi ya wajumbe wanaodaiwa kuhamishwa kinyemela ili wapige kura kama wajumbe wa kundi linalotoka Bara au Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aeleza mwafaka wa Katiba bora

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema suluhisho la kupata Katiba bora ni pande mbili zinazovutana zitakapofikia mwafaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyama vya siasa vyataka mwafaka wa Katiba Mpya

 Vyama vya siasa vimekubaliana kutafuta mwafaka wa agenda za Katiba Mpya kabla ya kuanza kwa Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KATIBA MPYA: Mwafaka wa aina ya muungano ulihitajika kabla

JAMBO ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi katika rasimu ya Katiba mpya ni hoja ya Muungano. Ingawa kwa maoni yangu ningesema yamekuwa mabishano ambayo si wengi wameyajengea hoja, lakini Watanzania wengi...

 

11 years ago

Michuzi

SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Mmoja  kati ya  waumini  wa dini ya Kiislam  wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika  uwanja  wa Mwembetogwa akitoka kuswali  Swala ys Idd leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa Sheikh Dhulkifilo Omari  kulia akiwa na baadhi ya  waumini mara baada ya  ibada  ya Idd el Fitr   leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa  msikiti  wa  Hidaya katika manispaa ya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani