Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchakato haukuzingatia mwafaka wa kitaifa, asema mhadhiri UDSM

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Bashiru Ally amesema mchakato wa kutunga Katiba, haukuzingatia umuhimu wa kujenga mwafaka wa kitaifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Mchakato wa Katiba unahitaji mwafaka wa kitaifa’

Kumekuwa na hali ya sintofahamu tangu kupatikana kwa Katiba Inayopendekezwa. Hii imetokana na ukweli kwamba, Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba, umepitia misukosuko mingi, ikiwamo kupingwa na makundi mbalimbali ndani ya jamii.

 

10 years ago

Mtanzania

Mhadhiri UDSM ataka kumrithi Komba

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

MHADHIRI Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Taasisi ya Taaluma na Maendeleo, Dk. Stephen Maluka, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Nyasa (Mbinga Magharibi) mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Oktoba mwaka huu.

Dk. Maluka mwenye Shahada ya Uzamivu ya Afya ya Jamii aliyopata nchini Sweden, amejitosa kugombea jimbo hilo ambalo awali lilijulikana kama Mbinga Magharibi na lilikuwa likiongozwa na marehemu Kapteni John...

 

10 years ago

Habarileo

Mhadhiri UDSM atajwa Urais kupitia NCCR

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk George Kahangwa VIJANA wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamempendekeza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk George Kahangwa (46) kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, atakayeshindanishwa na wagombea wengine wa kambi ya upinzani, endapo wataamua kuungana kwa mwavuli wa umoja wao waliouanzisha.

 

5 years ago

Michuzi

MHADHIRI CHUO KIKUU ASEMA NI VIGUMU SANA KWA MAZINGIRA YA SASA KUZUNGUMZIA MTU ANAYEWEZA AKASIMAMA AKAWA BORA KULIKO RAIS MAGUFULI...

MHADHARI wa Chuo Kikuu Saint John jijini Dodoma Dk.Alfred Sebahene amesema kwamba ni vigumu sana katika mazingira tuliyonayo kwa sasa kuzungumzia mtu anaweza kusimama akawa bora kuliko Rais Dk.John Magufuli.
Akizungumzia kuhusu utendaji kazi wa Rais Dk.Magufuli ,Dk.Sebahene amefafanua kuwa ni vigumu kwa sababu wananchi wameona matokeo chanya ya jitihada za Serikali hii ya Awamu ya Tano na kusisitiza kuna jitihada kubwa sana na mambo yanayoonekana ndio ambayo Mtanzania anataka kuyazingatia...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Aendelea na Kampeni, asema Ataendeleza Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Kuleta Maendeleo

Wanachama wa CCM Wakimshangilia Mgombea wao wa Urais Dk Shein, wakati akiwasili katika viwanja vya mpira Konde kwa ajili ya mkutano wake wa Tatu wa Kampeni zake kisiwani Pemba.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa mkutano wake wa Kampeni na kuwataka kuichagua CCM kuzi kuwaletea maendeleo katika miradi mbalimbali na kuendelea kuongoza Zanzibarb kwa misingi ya Sheria na haki kwa maendeleo ya Wazanzibar.Mgombea...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CCM TAWI LA MOSCOW URUSI ATOA MSIMAMO WAKE JUU YA MCHAKATO WA KATIBA, ASEMA SERIKALI MBILI NDIO SULUHISHO

MWENYEKITI TAWI LA CCM MOSCOW URUSI, NDG SALIM MFUNGAHEMA: 
 Mwenyekiti tawi la CCM Moscow Ndg Mfungahema Salim amesema muundo wa muungano wa serikali Mbili ndio suluhisho pekee la watanzania, Akizungumza katika kikao cha kamati ya siasa ya tawi kilichofanyika 05.06.2014, bwana Mfungahema alisema muungano wa serikali mbili ndio umetufikisha hapa tulipo na kuna mafanikio makubwa TULIYOYAPATA, pamoja na changamoto chache zinazojitokeza lakini zinarekebishika.
 Bwana Mfungahema aliwataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kichekesho JK kukosoa tume — Mhadhiri

KATIBU wa Jumuiya ya Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Faraja Kristomus, amesema ni kichekesho kwa Rais Jakaya Kikwete kukosoa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Kristomus alitoa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete akusudia kuwa mhadhiri

RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, amesema anatarajia kurejea darasani kushika tena chaki, kwa kuwa Mhadhiri kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfumo unachangia matokeo mabovu — Mhadhiri

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, amesema tatizo la elimu nchini haliko kwenye alama wanazopata wanafunzi bali mfumo uliopo. Bashiru alitoa kauli hiyo alipozungumza na Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani