Mhadhiri UDSM ataka kumrithi Komba
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MHADHIRI Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Taasisi ya Taaluma na Maendeleo, Dk. Stephen Maluka, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Nyasa (Mbinga Magharibi) mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Oktoba mwaka huu.
Dk. Maluka mwenye Shahada ya Uzamivu ya Afya ya Jamii aliyopata nchini Sweden, amejitosa kugombea jimbo hilo ambalo awali lilijulikana kama Mbinga Magharibi na lilikuwa likiongozwa na marehemu Kapteni John...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mhadhiri UDSM atajwa Urais kupitia NCCR
VIJANA wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamempendekeza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk George Kahangwa (46) kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho, atakayeshindanishwa na wagombea wengine wa kambi ya upinzani, endapo wataamua kuungana kwa mwavuli wa umoja wao waliouanzisha.
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Mchakato haukuzingatia mwafaka wa kitaifa, asema mhadhiri UDSM
11 years ago
Habarileo20 Jul
Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu
IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Mpendazoe ataka kumrithi Arfi Chadema
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Kichekesho JK kukosoa tume — Mhadhiri
KATIBU wa Jumuiya ya Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Faraja Kristomus, amesema ni kichekesho kwa Rais Jakaya Kikwete kukosoa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Kristomus alitoa...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Kikwete akusudia kuwa mhadhiri
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, amesema anatarajia kurejea darasani kushika tena chaki, kwa kuwa Mhadhiri kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mfumo unachangia matokeo mabovu — Mhadhiri
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, amesema tatizo la elimu nchini haliko kwenye alama wanazopata wanafunzi bali mfumo uliopo. Bashiru alitoa kauli hiyo alipozungumza na Tanzania...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Mhadhiri aunga mkono Serikali Tatu
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Mhadhiri raia wa Ujerumani afa ajalini