Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhadhiri aunga mkono Serikali Tatu

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ross Kinemo amesema Muungano wa Serikali unaopendekezwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya unafanana na muungano uliopo katika Nchi za Marekani, India, Canada na hata Uswisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE JUMAA AUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUTOA MSAADA KUJIKINGA NA CORONA


Na Mwamvua Mwinyi Kibaha KATIKA jitihada za kuunga mkono Serikali katika vita dhidi ya homa ya Corona Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini ,Hamoud Jumaa amekabidhi ndoo 100 za kuwawia mikono pamoja na sabuni,vyenye thamani ya milioni mbili ili kujikinga na Corona.
Ndoo hizo pamoja na sabuni zimekabidhiwa katika Kituo cha Afya cha Mlandizi ili zisambazwe kwenye vituo vya Afya, Zahanati zote ,kwa wafanya biashara sokoni pamoja Standi ili kupambana na homa ya Corona.
Jumaa aliwataka wananchi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Taleban aunga mkono amani

Kiogozi wa kundi la Taliban nchini Afghanistan Mullah Omar ameunga mkono mazungumzo ya amani na serikali.

 

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aunga mkono msimamo wa Moyo

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid amesema msimamo wa mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo kuendelea kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar ndani ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kishujaa licha ya kufukuzwa CCM.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Colombia aunga mkono Bhangi

Rais wa Colombian Juan Manuel Santos amesema kuwa anaunga mkono matumizi ya bangi kwa minajili ya utabibu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai

Aliyekuwa Askofu mkuu nchini Afrika kusini Desmond Tutu amesema kuwa anaunga mkono mjadala wa kujitoa uhai,

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA AUNGA MKONO UTABIRI VIFO VYA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayoongea mara nyingi huwa yanatimia. Msanii wa filamu Bongo, Devotha Mbaga Akipiga stori na paparazi wetu baada ya mtabiri mashuhuri, Hassan Yahya Husein kutabiri vifo vya mfululizo vya wasanii ambavyo kweli vimetokea, Devotha alisema ameamini utabiri huo na kuzidi...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga

SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.

 

9 years ago

StarTV

Mchakato  Kuinunua Simba Tarimba aunga mkono dhamira ya Dewji.

Rais wa zamani wa klabu ya Yanga, Abbas Tarimba ameunga mkono dhamira ya Mohamed Dewji kutaka kuinunua klabu ya Simba akisema hiyo ndiyo njia pekee kuinusuru Simba ambayo inazidi kupoteza dira katika ulimwengu wa soka la kimtaifa.

Tarimba ana uzoefu wa kushindwa na pale alipotaka kuifanya Yanga imilikiwe na  kampuni lakini akakumbana na vikwazo .

Hicho ndicho kinachotaka kumtokea Mohamed Dewji ambaye anataka kuinunua klabu ya Simba.

Tarimba anasema wanachama wa Simba na Yanga wameshindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani