Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa Taleban aunga mkono amani

Kiogozi wa kundi la Taliban nchini Afghanistan Mullah Omar ameunga mkono mazungumzo ya amani na serikali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa kundi la Taleban amefariki

Habari kutoka kwa serikali ya Afghanistan zimeiambia BBC kuwa kinara mkuu wa kundi la wapiganaji wa Taliban, Mullah Omar amefariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Taleban huko Qatar ajiuzulu

Kiongozi wa ofisi ya kisiasa ya kundi la wapiganaji wa Taliban huko Qatar, amejiuzulu jambo linalothibitisha mgawanyiko ndani ya kundi hilo , kufuatia kifo cha kiongozi wao Mullah Omar.

 

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aunga mkono msimamo wa Moyo

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid amesema msimamo wa mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo kuendelea kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar ndani ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kishujaa licha ya kufukuzwa CCM.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Colombia aunga mkono Bhangi

Rais wa Colombian Juan Manuel Santos amesema kuwa anaunga mkono matumizi ya bangi kwa minajili ya utabibu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mhadhiri aunga mkono Serikali Tatu

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ross Kinemo amesema Muungano wa Serikali unaopendekezwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya unafanana na muungano uliopo katika Nchi za Marekani, India, Canada na hata Uswisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai

Aliyekuwa Askofu mkuu nchini Afrika kusini Desmond Tutu amesema kuwa anaunga mkono mjadala wa kujitoa uhai,

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA AUNGA MKONO UTABIRI VIFO VYA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayoongea mara nyingi huwa yanatimia. Msanii wa filamu Bongo, Devotha Mbaga Akipiga stori na paparazi wetu baada ya mtabiri mashuhuri, Hassan Yahya Husein kutabiri vifo vya mfululizo vya wasanii ambavyo kweli vimetokea, Devotha alisema ameamini utabiri huo na kuzidi...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga

SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani