Utata huu wa upitishaji Katiba unahitaji ufafanuzi
Pamoja na Bunge la Katiba kupitisha ‘Katiba Inayopendekezwa’, utata mkubwa umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitisha Katiba hiyo. Utata huo unatokana na kura za wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) upande wa Zanzibar, wajumbe waliokuwa Hijja nchini Saudi Arabia na zile za baadhi ya wajumbe wanaodaiwa kuhamishwa kinyemela ili wapige kura kama wajumbe wa kundi linalotoka Bara au Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Mchakato wa Katiba unahitaji mwafaka wa kitaifa’
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
CUF: Uundaji Katiba unahitaji serikali ya kitaifa
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda serikali ya umoja wa kitaifa itakayosimamia na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya. Alisema kwa sasa kuna...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Ufafanuzi wa Warioba ‘wasia’ kwa Bunge la Katiba
11 years ago
GPLUFAFANUZI KUTOKA IKULU KUHUSU TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
10 years ago
Habarileo30 Sep
Theluthi mbili Zanzibar rasimu ya Katiba utata
KAMA ilivyotarajiwa kwamba theluthi mbili ya kura za ‘Ndiyo’ kwa ajili ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa ingeleta shida, tayari kwa idadi ya wajumbe waliokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge jana, theluthi mbili ya wajumbe wa Zanzibar imekosekana.
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Utata wa katiba umalizwe kabla ya kura ya maoni
KWA mara nyingine, Rais Jakaya Kikwete amekuja na lugha mwanana na murua juu ya hiyo tunayotakiwa tuamini ni Katiba inayolifaa taifa hili. Lakini katiba itakayopelekwa kwa wananchi kuifanyia uamuzi sio...
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Mwenendo wa upitishaji bajeti unalea udhaifu
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Wajumbe Bunge la #Katiba wadai nyaraka huku Hati ya Muungano ikileta utata [VIDEO]