UFAFANUZI KUTOKA IKULU KUHUSU TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia viragoâ€. Habari hiyo inamkariri aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba akidai kuwa Tume yake ilifukuzwa kazi, kwamba haikupewa muda wa kuandaa na kuwasilisha nyaraka za kukabidhi ofisi na madaraka na kwamba wajumbe wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQIqJWnCVKMo8DcvpUZ8XXQLFkehyusPUUcLPrngyBIiYZY59ngCyS1Vk8SgutDZo1BsERYVBu9rJjMapI98zw3t/IKULU.png?width=650)
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
11 years ago
Michuzi12 Feb
11 years ago
Michuzi19 Feb
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Tume yatoa Ufafanuzi kuhusu ucheleweshwaji wa matokeo ya Urais
Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw.Hamid M. Hamid (wapili kushoto) akisoma matokeo ya wagombea nafasi ya Urais jana jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu,anayemfuata kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu Damian Lubuva.
Baadhi ya waandishi wa Habari wa Ndani na Nje ya nchi wakifuatilia zoezi la kutangazwa kwa matokeo ya wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu jana katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
Msaidizi wa Mkurugenzi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TPRePmoCsTs/VIs9_r1fH4I/AAAAAAAG2yQ/8q7cHGu-2Dw/s72-c/NEC_BANNER2.gif)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU USHIRIKI WA WANAJESHI kWENYE ZOEZI HILO
![](http://4.bp.blogspot.com/-TPRePmoCsTs/VIs9_r1fH4I/AAAAAAAG2yQ/8q7cHGu-2Dw/s1600/NEC_BANNER2.gif)
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine.
Pia wanajeshi hao watasaidia katika shughuli za kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa yanayoweza kujitokeza wakati wa zoezi la...