Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012. Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum.
Kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 3, Rais amepewa mamlaka ya kuvunja Tume ya Mabadiliko ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UFAFANUZI KUTOKA IKULU KUHUSU TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”. Habari hiyo inamkariri aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba akidai kuwa Tume yake ilifukuzwa kazi, kwamba haikupewa muda wa kuandaa na kuwasilisha nyaraka za kukabidhi ofisi na madaraka na kwamba wajumbe wa...

 

11 years ago

Habarileo

Rais avunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba

Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amevunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba, baada ya tume hiyo kumaliza kazi iliyopewa na kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Bunge Maalumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tovuti Tume ya Mabadiliko ya Katiba ifunguliwe- Wito

Wakazi wa Jiji la Arusha wameiomba Serikali kuifungua tovuti ya iliyokuwa ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuwawezesha Watanzania kuisoma na kuifahamu rasimu ya pili ya mabadiliko ya Katiba na viambatanisho vyake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani