Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufafanuzi wa Warioba ‘wasia’ kwa Bunge la Katiba

Tumesoma kwa umakini mkubwa taarifa ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inatoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo nyeti yaliyomo katika Rasimu ya Katiba ambayo itajadiliwa na Bunge la Katiba linalokutana mjini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuipatia nchi yetu Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema wajumbe wa kundi la walio wengi linaloundwa na wabunge wa CCM na baadhi ya 201 katika Bunge la Katiba hawawezi kupitisha Katiba kwa kuwa hakuna maridhiano

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge la Katiba waivaa Tume ya Warioba

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wamewajia juu waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba wakidai kuwa kazi yao ilishaisha, hivyo kuendelea kujadili masuala kuhusu Rasimu ya Katiba si sahihi.

 

11 years ago

Mwananchi

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba, litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwaheri Tume ya Warioba, karibu Bunge la Katiba

>Safari ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeshafikia ukingoni, imefika hapa ilipofika. Imekwishakabidhi rasimu yake ya pili kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa inasubiri tu kuiwasilisha katika Bunge Maalumu la Katiba mapema mwezi ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge lachafuka, Warioba asimama bila kuwasilisha Rasimu ya Katiba

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana jioni alisimama kwa dakika tatu mbele ya kipaza sauti lakini akashindwa kuwasilisha Rasimu ya Katiba kutokana na vurugu zilizojitokeza bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani