Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lachafuka, Warioba asimama bila kuwasilisha Rasimu ya Katiba

>Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana jioni alisimama kwa dakika tatu mbele ya kipaza sauti lakini akashindwa kuwasilisha Rasimu ya Katiba kutokana na vurugu zilizojitokeza bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA KESHO JUMANNE

 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiwa na Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani baada ya kuwasili bungeni mjini Dodoma na muda mfupi kabla ya kuanza  kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya.   Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba huku wakipiga kelele na kugomga meza.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba  wakiwa wamesimama kupinga Jaji Joseph Warioba asiwasilishe rasimu ya katiba 

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Kazi ya Bunge la Katiba siyo kubadili Rasimu

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema litakuwa jambo lisilo la kawaida kwa Bunge Maalumu la Katiba kubadili hoja ya msingi iliyopo kwenye Rasimu ya Katiba, akisisitiza kuwa jukumu lake ni kuifanyia marekebisho.

 

11 years ago

GPL

BUNGE LA KATIBA LACHAFUKA

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy akiwa bungeni. BUNGE Maalum la Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema Serikali ya Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo kulipwa mishahara. Wajumbe kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai kawavunjia heshima hali iliyopelekea Mwenyekiti wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati kuanza kuwasilisha Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma.Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini taarifa ikiyotolewa na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa mkutano huo...

 

11 years ago

GPL

‏ KAMATI KUANZA KUWASILISHA SURA ZILIZOSALIA ZA RASIMU YA KATIBA MPYA

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma. Baadhi ya… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Korti: Bunge lizingatie rasimu ya Warioba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imelitaka Bunge Maalumu la Katiba kuandika na kupitisha vipengele kwa kuzingatia rasimu iliyowasilishwa bungeni na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

TUCTA: Bunge liheshimu Rasimu ya Jaji Warioba

Bunge Maalumu la Katiba, linatarajiwa kuendelea Agosti 5 mwaka huu, baada ya kuahirishwa kwa ajili ya kupisha Bunge la Bajeti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani