Mjadala wa Miaka 50 Kenya
Mjadala huu uliangazia malengo ya wapiganiaji wa uhuru, hali ilivyo sasa hivi Kenya na matarajio ya wananchi kutoka kwa serikali.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Al Shabaab wazua mjadala Kenya
Mashambulizi ya wapiganaji wa kundi la Al Shaabab nchini Kenya, limezusha mjadala mkali miongoni mwa viongozi wa eneo hilo.
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mjadala Kenya kuhusu ziara nyingi za rais
Mjadala mkali umezuka kuhusu ziara nyingi za Rais Kenyatta nje ya nchi zinazogharimu mlipa ushuru mamilioni ya pesa.
9 years ago
Habarileo06 Oct
Miaka 10 ya JK yapongezwa Kenya
WATANZANIA wanaoishi nchini Kenya wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uongozi mahiri katika miaka 10 ya utawala wake, unaokoma kikatiba siku chache zijazo. Wamesema chini ya uongozi wake, Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta nyingi zikiwamo za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Miaka 50 ya Kenya kujitawala
Timothy Njoya ni mmoja wa waliohusika na harakati za kutafuta katiba mpya
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
Maadhimishyo ya miaka 50 - Kenya!!
Zaidi ya marais 15, na watu mashuhuri wahudhuria sherehe za kukata na shoka, kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Kenya.
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
Kenya yasherehekea miaka 50 ya Uhuru
Kenya inasherehekea miaka 50 ya uhuru walioupata chini ya utawala wa Uingereza.
11 years ago
BBCSwahili12 Dec
Kenya yakata keki miaka hamsini!
Kenya imefikisha miaka hamsini tangu kujitatawala lakini changamoto bado ni nyingi kwani ndoto ya kufikia mengi haijatimia.
11 years ago
BBCSwahili30 May
Mchawi mtanzania jela miaka 3 Kenya
Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na kumibia shilingi milioni tisa.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mzee amchoma mkewe wa miaka 16 Kenya
Mzee mwenye umri wa miaka 70 aliyemchoma mkewe mwenye umri wa miaka 16 mjini Mandera kazkazini mashariki mwa Kenya amekamatwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania