Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mji wa Ramadi watorokwa Iraq

Maelfu ya raia wa Iraq wanaendelea kuukimbia mji wa Ramadi huku kundi la wanamgambo wa Islamic State likiwazuia na kuendeleza mashambulizi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA DOLA YA KIISLAM LAUTWAA MJI WA RAMADI NCHINI IRAQ


Mji wa Ramadi nchini Irak umetwaliwa na wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislam baada ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo kuzidiwa nguvu na kuondoka.

Vikosi vya askari polisi na jeshi la Irak vimelazimika kurudi nyuma baada ya siku kadhaa za mapigano makali.
Hata hivyo Marekani, imekanusha kutwaliwa kwa mji huo na kusema kuwa hali ni tete na kuongeza kuwa bado ni mapema mno kutoa taarifa ya uhakika.

 

9 years ago

BBCSwahili

IS wadhibitiwa Ramadi, Iraq

Jeshi la Iraq limesema linadhibiti jengo kubwa la serikali ambalo lilikuwa ndio kitovu cha mapigano katika mji wa Ramadi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tunakaribia kuikomboa Ramadi:Iraq

Iraq imesema inakaribia kuukomboa mji wa Ramadi dhidi ya wapiganaji wa IS waliokuwa wakishikilia mji huo tangu mwezi mei mwaka huu

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji washia waelekea Ramadi, Iraq

Inasemekana kuwa wapiganaji wa kishia wanadaiwa kuelekea Ramadi, mji mkuu wa mkoa wa Al-Anbar, Magharibi mwa Baghdad

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapigano makali yaendelea Ramadi, Iraq

Mapigano makali ya kuwania udhibiti wa mji wa Ramadi nchini Iraq unaendelea.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani:Jeshi la Iraq lichukue Ramadi

Pentagon imesema kuwa, muda umewaadia kwa kikosi cha wanajeshi wa Iraq waliofunzwa na Marekani kuchukua udhibiti wa mji wa Ramadi, kutoka mikononi mwa kundi hatari la Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq:Makabiliano yapamba moto Ramadi

Vikosi vinavyoitii serikali ya Iraq vimelishambulia kundi la wapiganaji la Islamic State katika eneo la Ramadi kwa mara ya kwanza tangu mji huo utekwe wiki moja iliopita.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Iraq latwaa ngome ya IS Ramadi

Chanzo kimoja cha habari kutoka jeshi la Iraq kimesema jeshi la Iraq linazidi kusogea kwenye jengo la makao makuu ya IS, Ramadi

 

9 years ago

BBCSwahili

Iraq yazingira Islamic State mjini Ramadi

Iraq inasema kuwa vikosi vyake vimeanzishaharakati za kukomboa mji wa Ramadi, ulioko chini ya udhibiti wa Islamic State

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani