Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkalama washukuru serikali kwa kasi ya kuwaletea umeme

DSC00871

Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Mkalama

SERIKALI  wilaya mpya ya Mkalama mkoani Singida, imeishukuru serikali kuu kwa hatua yake ya kuipatia huduma ya nishati ya umeme kwa kipindi kifupi mno.

Shukrani hizo zimetolewa na mkuu wa wilaya hiyo, Edward Ole Lenga wakati akizungumza na Mwakilishi wa MOBlog, juu ya maendeleo ya usambazaji wa huduma hiyo ya umeme kupitia matokeo makubwa sasa (BRN)katika vijiji mbalimbali vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME MKALAMA Inbox x

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewasha umeme katika maeneo kadhaa ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida na kusisitiza viongozi wa wilaya, vijiji na vitongoji kutoa kipaumbele kwa taasisi za umma zilizo katika maeneo yao ili ziunganishiwe nishati hiyo muhimu. Akiwa katika ziara ya kazi wilayani humo, Aprili 19 mwaka huu, Dkt Kalemani alibainisha kuwa kipaumbele cha Serikali kupeleka umeme vijijini ni katika kuhakikisha taasisi zote za umma zinakuwa na umeme ili kuziwezesha kutoa huduma...

 

10 years ago

Habarileo

Simbachawene, Mwijage wasema watasambaza umeme kwa kasi

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya jana na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini kwa kasi.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN, Serikali washukuru wakazi wa Singida kujimilikisha miradi ya maendeleo

IMG_4100

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na mmoja wa watendaji wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida mara tu alipowasili kijiji cha Puma kukagua mradi wa ufugaji kuku wa kusaidia watu wanaoishi na VVU unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia TACAIDS. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone.

Na Modewjiblog team, Singida

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KASI ILIYOANZA NAYO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM),Ndugu  Abdulrahman O.Kinana(Pichani) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais,Dkt.John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais,Mhe.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu,Mhe.Kassim Majaliwa kwa kasi nzuri waliyoanza nayo katika utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akifafanua zaidi jambo mbele ya waandishi wa habari leo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpinga awaagiza madiwani wa Mkalama kufanya kazi na serikali za vijiji bila ubaguzi wa vyama

DSC03886

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida, James Mpinga, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha kawaida cha madiwani wa halmashauri hiyo. Mwenyekiti James, aliwataka madiwani kufanya kazi kwa karibu na serikali mpya za vijiji bila kujali za chama gani cha siasa.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

 Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida, James Mpinga, ameagiza madiwani kufanya kazi na serikali za vijiji zilizochaguliwa kwenye uchaguzi uliopita bila kujali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger: Welbeck ana kasi ya umeme

Mkufunzi wa kilabu ya Arsenal nchini Uingereza amemtaja mshambuliaji wake Danny Welbeck kama mchezaji mwenye kasi ya 'umeme

 

10 years ago

Habarileo

Kinana akiri kuridhishwa na kasi ya kusambaza umeme

SERIKALI imepongezwa kwa kasi yake kubwa ya kusambaza umeme vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani