Mpinga awaagiza madiwani wa Mkalama kufanya kazi na serikali za vijiji bila ubaguzi wa vyama
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida, James Mpinga, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha kawaida cha madiwani wa halmashauri hiyo. Mwenyekiti James, aliwataka madiwani kufanya kazi kwa karibu na serikali mpya za vijiji bila kujali za chama gani cha siasa.
Na Nathaniel Limu, Mkalama
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida, James Mpinga, ameagiza madiwani kufanya kazi na serikali za vijiji zilizochaguliwa kwenye uchaguzi uliopita bila kujali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogSERIKALI ITASHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WATANZANIA WOTE BILA YA UBAGUZI-MAJALIWA
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waridi wa BBC: Miriam Mawira alizaliwa bila mikono, hutumia miguu yake kufanya kazi zake
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
SERIKALI NA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UWAZI.


9 years ago
StarTV20 Nov
Kassim Majaliwa aahidi kuwajibika bila ubaguzi
Waziri mkuu mteule Mh. Kassim Majaliwa amesisitiza juu ya mshikamano baina ya wabunge katika kufanikisha malengo ya shuguli za Serikali na kuahidi kufanya kazi kwa kufika majimboni akiutaja mtindo huu kuwa wenye ufanisi zaidi.
Amebainisha hayo mara baada ya wabunge kuthibitisha jina na nafasi yake ya uwaziri mkuu kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5.
Mheshimiwa Majaliwa ambaye ni mbunge Luangwa aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo ya ukuu wa wilaya na kuwa naibu waziri ofisi...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali
Mwanahabari Frank Kibiki akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.
Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.
“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...
10 years ago
Michuzi
WATUMISHI WAPYA 222 WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WAASWA KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA NA UZALENDO


11 years ago
Dewji Blog13 Oct
Mkalama washukuru serikali kwa kasi ya kuwaletea umeme
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
SERIKALI wilaya mpya ya Mkalama mkoani Singida, imeishukuru serikali kuu kwa hatua yake ya kuipatia huduma ya nishati ya umeme kwa kipindi kifupi mno.
Shukrani hizo zimetolewa na mkuu wa wilaya hiyo, Edward Ole Lenga wakati akizungumza na Mwakilishi wa MOBlog, juu ya maendeleo ya usambazaji wa huduma hiyo ya umeme kupitia matokeo makubwa sasa (BRN)katika vijiji mbalimbali vya...