Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkataba wa tabia nchi waafikiwa Paris

Hatimaye mkataba umeafikiwa juu ya mabadiliko ya tabianchi na mataifa karibu 200 katika mkutano uliokuwa ukiendelea Paris kwa majuma mawili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

9 years ago

Habarileo

Bilal ahimiza utayari mkataba mpya mabadiliko tabia nchi

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi za Afrika kuwa tayari kwa makubaliano mapya yatakayowezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa amani waafikiwa Sudan kusini

Mkataba wa usitishaji uhasama kati ya serikali na waasi nchini Sudan kusini waanza kutekelezwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi

IMG_1116

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.

Hayo...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Mahenge azindua tovuti ya mabadliko ya tabia nchi.

Mheshimiwa      Eng  Dkt. Binirithi S.  Mahenge  (mbunge)  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa  Rais (mazingira) azindua tovuti ya mabadiliko ya tabia  nchi. Katika hotuba yake fupi ya uzinduzi wa tovuti hiyo, aliyoandaliwa kwa ufadhili wa serikali ya Denmark Mh. Binirithi  Mhenge amesema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi huangaliwa kwa muda wa miaka 30 hivyo kwa kipindi hiki chote kumekuwa na madhara mengi yatokanayo na athari za mabadiliko ya tabia Nchi ikiwa ongezeko la joto, kina cha bahari...

 

9 years ago

Michuzi

Wadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’

Ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Nchi Wanachama COP21 uliokuwa ukifanyika Paris, Ufaransa, ambao ulimalizika kwa kupitisha mkataba mpya wa mabadiliko ya tabianchi (Paris Agreement), wadau mbalimbali wamekutana kujadili matokeo ya mkutano huo.
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG LIVE IN PARIS: Katika maandamano ya amani – mwitikio rasmi wa mkataba wa COP21!!

DSC_4634

Baadhi ya waandamanaj  ambao ni wanaharakati na  makundi ya kijamii yanayopigania upatikanaji wa haki kwenye sualla la mazingira hasa Mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) wakiwa katika jiji la Paris katika maandamano ya kihistoria wakishinikiza Mataifa tajiri na yenye viwanda kuakikisha wanapunguza joto hadi kufikia nyuzi joto 1.5 hapo baadae. Maandamano hayo yalianzia katikati ya jiji la Paris na kuishia kwenye viwanja vya Mnara maarufu katika jiji hili wa Eiffel tower. (Picha zote na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tabia nchi yaunganisha mataifa

Umoja wa ulaya na mataifa 79 ya Afrika, eneo la Pacific na Caribbean wameungana ili kufikia muafaka wa mazungumzo ya Paris.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa yakileta madhara duniani ,nchini Tanzanian mamlaka ya hali ya hewa imetoa taarifa kwa uuma

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani