MODEWJIBLOG LIVE IN PARIS: Katika maandamano ya amani – mwitikio rasmi wa mkataba wa COP21!!
Baadhi ya waandamanaj ambao ni wanaharakati na makundi ya kijamii yanayopigania upatikanaji wa haki kwenye sualla la mazingira hasa Mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) wakiwa katika jiji la Paris katika maandamano ya kihistoria wakishinikiza Mataifa tajiri na yenye viwanda kuakikisha wanapunguza joto hadi kufikia nyuzi joto 1.5 hapo baadae. Maandamano hayo yalianzia katikati ya jiji la Paris na kuishia kwenye viwanja vya Mnara maarufu katika jiji hili wa Eiffel tower. (Picha zote na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
COP21: Maandamano viongozi 145 wakitua Paris
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Wajumbe ‘waafikiana’ mkutano wa COP21 Paris
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Ni rasmi - Mkataba wa amani DRC na M23
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mtandao wa Modewjiblog watembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo jiji la Paris nchini Ufaransa!!
Mwanahabari mwandamizi wa mtandao huu wa www.modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katikak picha ya pamoja na Afisa Balozi wa Tanzania nchini, Ufaransa, Bi. Grace Akyoo. Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa zinapatikana katika jiji la Paris eneo la Victor Hugo.
[Paris] ni moja ya majiji yenye raha na starehe za kila aina hapa duniani jiji hili lipo nchini Ufaransa ambapo karibu asilimia kubwa limekuwa likipokea wageni mbalimbali kutoka nchi zote Duniani hasa kutembelea kwa misimu yote...
10 years ago
BBCSwahili11 Jan
Maandamano ya umoja yaanza Paris.
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Modewjiblog: Tunawatakia upigaji kura mwema Watanzania wote, Amani yetu, Taifa letu !
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[HARARE-ZIMBABWE]
Jumapili ya leo Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania linafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua ambayo wananchi watapiga kura ya NDIO kwa mgombea wanayemtaka wao. Kwa kuzingatia amani na utulivu wetu, Mtandao wa Modewjiblog inaungana na Watanzania wote popote walipo kutakia kila lakheri katika siku hii muhimu na ya kihistoria ambayo utokea mara moja kila...
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mkataba wa tabia nchi waafikiwa Paris
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
DAR ES SALAAM LIVE: Kamera ya Modewjiblog ipo mtaani ikikusanyia matukio mbalimbali pichani!
Taswira ya jengo la Golden Jubilee linavyoonekana kwa mbali katikati ya jiji kama lilivyopigwa picha na mwandishi wa mtandao huu. ( Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Moja ya wachuuzi wa vinywaji akikatiza katika moja ya maeneo ya jirani na ofisi za Habari Maelezo…
Kijiwe maalufu cha wazee wa Mjini ambacho watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, wanahabari, wanasheria na watu wengine wamekuwa wakipatikana hapo na kupiga stori mbili tatu.