COP21: Maandamano viongozi 145 wakitua Paris
Takriban viongozi 150 kutoka kote ulimwenguni wanatarajiwa kuwasili nchini Ufaransa leo tayari kwa mkutano wa dunia wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga duniani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
MODEWJIBLOG LIVE IN PARIS: Katika maandamano ya amani – mwitikio rasmi wa mkataba wa COP21!!
Baadhi ya waandamanaj ambao ni wanaharakati na makundi ya kijamii yanayopigania upatikanaji wa haki kwenye sualla la mazingira hasa Mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) wakiwa katika jiji la Paris katika maandamano ya kihistoria wakishinikiza Mataifa tajiri na yenye viwanda kuakikisha wanapunguza joto hadi kufikia nyuzi joto 1.5 hapo baadae. Maandamano hayo yalianzia katikati ya jiji la Paris na kuishia kwenye viwanja vya Mnara maarufu katika jiji hili wa Eiffel tower. (Picha zote na...
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Wajumbe ‘waafikiana’ mkutano wa COP21 Paris
10 years ago
BBCSwahili11 Jan
Maandamano ya umoja yaanza Paris.
10 years ago
Habarileo26 Sep
Viongozi wa dini wakemea maandamano
WAKATI baadhi ya vyama vya siasa nchini, vikiendelea kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa ajili ya kupinga vikao vya Bunge Maalum la Katiba, Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam inayoundwa na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali, imewaonya watanzania kujihusisha na maandamano hayo ili kunusuru vurugu zinazoweza kusababisha vifo na kutoweka kwa amani, lakini pia kuliletea aibu taifa.
11 years ago
GPL5 years ago
NewsBTC12 Apr
Ethereum Is Still In Larger Uptrend Above $145: Here’s Why
10 years ago
Bongo506 Dec
Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)
10 years ago
MichuziKAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Africa Preparation in COP21
Climate change has significant and unequivocal implications for Africa’s development, and poses complex and changing challenges for Africa’s peoples and policy makers. Addressing climate change has become central to the continent’s development agenda. It is proven that poorer countries and communities will suffer earliest and hardest from global warming because of weaker resilience and greater reliance on climate‐sensitive sectors like agriculture.
Over the last decade or so Africa has...