Wajumbe ‘waafikiana’ mkutano wa COP21 Paris
Waandalizi wa mkutano kuhusu mabadiliko ya tabia nchi mjini Paris wanasema mswada wa mkataba mpya umeafikiwa baada ya karibu wiki mbili za mazungumzo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Wajumbe wa mkutano wa Paris waganyika
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
COP21: Maandamano viongozi 145 wakitua Paris
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
MODEWJIBLOG LIVE IN PARIS: Katika maandamano ya amani – mwitikio rasmi wa mkataba wa COP21!!
Baadhi ya waandamanaj ambao ni wanaharakati na makundi ya kijamii yanayopigania upatikanaji wa haki kwenye sualla la mazingira hasa Mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) wakiwa katika jiji la Paris katika maandamano ya kihistoria wakishinikiza Mataifa tajiri na yenye viwanda kuakikisha wanapunguza joto hadi kufikia nyuzi joto 1.5 hapo baadae. Maandamano hayo yalianzia katikati ya jiji la Paris na kuishia kwenye viwanja vya Mnara maarufu katika jiji hili wa Eiffel tower. (Picha zote na...
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Mkutano wa mazingira COP21 waanza Ufaransa
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mkutano Paris kuhitaji siku moja zaidi
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Wanasayansi zaidi ya 2000 washiriki mkutano wa tabianchi, Paris Ufaransa
Pichani: Baadhi ya Wanasayansi wakifuatilia mawasilisho ya wanasayansi wenzao yaliyokuwa yakiwasilishwa katika mkutani huo ulioanza Julai 7 na kumalizika Julai 10, mwaka huu katika ukumbi mkubwa wa makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Paris, Ufaransa] Wanasayansi zaidi ya 2500, kutoka pembe zote duniani wamekutana katika mkutano mkubwa wa wanayasansi juu ya siku za usoni na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ‘Our Common Future Under Climate Change’....
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Dk John Pombe Magufuli azungumza na wajumbe wa mkutano Mkuu
11 years ago
Dewji Blog20 May
Tamko la Wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chadema kuhusu Ukawa
Taarifa Kwa Umma – Mashariki by moblog
11 years ago
Michuzi
wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakutana mjini Dodoma

