MKAZI WA IDODOMYA JAIL MAISHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-mcTALXtmxto/VO8g7xagNuI/AAAAAAAAbMM/LLVmYAQBazw/s72-c/abanyururu.jpg)
Tarehe 24/02/2015 katika Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la YUSUPH CHATAMBALA, umri miaka 45, kabila Mchaga, Mkulima na mkazi wa Kijiji cha MAKUTUPA Kata ya Lupeta Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la KUNAJISI mtoto wa miaka mine (4).Mwendesha Mashitaka wa Polisi katika Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa Mkaguzi Msaidizi wa Polisi GODWILL S. IKEMA (A/Insp) akisoma mashitaka Mahakamani alisema, Mtuhumiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Mkurugenzi Mkazi wa OXFAM Tanzania Jane Foster atembelea kijiji cha Maisha Plus na kujionea kazi za ujasiriamali
Wanakijiji wa Kijiji cha Maisha Plus ambao ni Vijana wa Maisha Plus pamoja na Mama shujaa wa Chakula wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster ambaye hayupo.
Kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster, Mkamiti Mgawe wa Oxfam na Babu kutoka kijiji cha Maisha Plus Rajabu Msumi wakiongea na washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula.
Mkamiti Mgawe wa tatu kutoka kushoto akimtambulisha Malkia wa Kijiji cha Maisha Plus kwa Mkurugenzi wa Oxfam...
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV
10 years ago
Bongo515 Nov
6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Y2YQkI6Vg9U/VNYc0sVxV6I/AAAAAAAHCW8/lGLRBvgj-qE/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mchepuko wamponza mkazi Newala
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti mkoani hapa, likiwemo tukio la mwanaume mmoja kucharangwa mapanga kwa madai ya kukutwa akifanya mapenzi na mke wa mtu. Kwa mujibu wa...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Iringa wahamasishwa daftari la mkazi
WANANCHI mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wakazi kwa lengo la kufanikisha upigaji kura katika chaguzi za serikali za mitaa na kuwezesha kupata kitambulisho cha uraia....
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Mkazi Dar aungua moto
MKAZI wa Sinza ‘A’, Mariam Kabaka (32) ameungua baada ya chumba alichokuwa anaishi kuwaka moto. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/15FEB/production/_85919009_breaking_image_large-3.png)
Pistorius 'must remain in jail'
11 years ago
Daily News13 Aug
Two sent to jail for beating villager
Daily News
TWO out of nine accused persons who appeared for the first time yesterday before Nkasi District Court in Rukwa Region were sentenced to one year in jail each after they pleaded guilty. All nine people, residents of Ipanda Village in the district were charged ...