MKE: MUME WANGU AMENIPIGA MSHALE KWENYE MAKALIO

Stori: Timothy Itembe Tarime, MARA UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Mwanamke mmoja, mkazi wa Kitongoji cha Buriba, Kijiji cha Sirari wilayani Tarime, Mara aitwaye Bunyige Chacha (25) amepigwa mshale kwenye makalio na mumewe, Ghati Nyamarandi kisa kikidaiwa kuanzia kwenye pesa ya mahari na watoto. Ghati Bunyige akiwa amekaa kwenye benchi akisubiri huduma ya matibabu katika… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MKE: WOLPER NIACHIE MUME WANGU!
11 years ago
GPL
MKE: MUME WANGU AKACHUKUA NYUNDO...
10 years ago
GPL
MKE: KAJALA NIACHIE MUME WANGU!
10 years ago
GPL
MKE: AISHA BUI AMEZAA NA MUME WANGU!
11 years ago
GPL
MUME: MKE WANGU KANICHOMA KWA MAJI YA MOTO NA MWANANGU
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
11 years ago
GPL
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego

Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL
SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!