Mkenya apata uteuzi katika Oscars
Lupita Nyong'o mwenye umri wa miaka 30 amepata uteuzi wa kuwa muigizaji msaidizi bora zaidi katika filamu '12 Years a Slave'
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
Mwalimu Mkenya katika kombe la dunia Brazil
10 years ago
Dewji Blog15 May
Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-82WxwneCgwg/ViVNLEM5EGI/AAAAAAAIA-g/ivm6JYEqvjk/s72-c/New%2BPicture.png)
RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI KATIKA MAHAKAMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-82WxwneCgwg/ViVNLEM5EGI/AAAAAAAIA-g/ivm6JYEqvjk/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi katika Mahakama kama ifuatavyo;Rais amemteua Bi. Katarina Revocati kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (Chief Registrar). Kabla ya uteuzi huu, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.
Rais pia amemteua Ndugu John Rugalema Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani na kabla ya...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-MQzIcdMz_3U/VdHewzZOhJI/AAAAAAAAkS8/qXJ9QOuRQnA/s72-c/1.jpg)
KAMATI KUU YA CCM YAFANYA UTEUZI KATIKA MAJIMBO YALIYOBAKIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-MQzIcdMz_3U/VdHewzZOhJI/AAAAAAAAkS8/qXJ9QOuRQnA/s640/1.jpg)
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Bekele apata ushindi katika mbio za Vitality Big Half
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-GQHeeEoiNKw/VX24_ksrpBI/AAAAAAAHfTg/lz39gkw6TPg/s72-c/MMGL0481.jpg)
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-GQHeeEoiNKw/VX24_ksrpBI/AAAAAAAHfTg/lz39gkw6TPg/s1600/MMGL0481.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-m7MNKzLYlDc/VX24_wBoz-I/AAAAAAAHfTo/ooMLl43W5Ck/s1600/MMGL0484.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-MLMhPFGW4gU/VX25DaaREBI/AAAAAAAHfT0/EdDklSxXabo/s1600/MMGL0524.jpg?width=650)
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI, RUKWA
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Mwanamke wa Iran apata agizo la jaji kushiriki katika soka
10 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI APATA WADHAMINI WENGI KATIKA WILAYANI KONGWA, DODOMA