Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkesha wa kitaifa wa dini zote Desemba 31

KAMATI ya Mkesha wa Kitaifa-Dua Maalumu imepanga kufanya mkesha wa kitaifa, utakaoshirikisha wananchi wote na waumini wa dini zote, ili kuiombea nchi iendelee kuwa na amani na utulivu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA KITAIFA KUFANYIKA VIWANJA VYA UHURU DESEMBA 31.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii.MAASKOFU na Wachungaji wa kamati ya maandalizi ya Mkesha wa mwaka mpya Kitaifa kufanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 31,Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Askofu Godfrey Malassy, wamewaomba watanzania wote kujitokeza siku ya Desemba 31 katika kuliombea Amani na Utulivu wa Taifa letu.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste , ambaye pia ni Askofu wa huduma ya Tanzania Fellowship Churches (TFC), Askofu ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akionyesha tuzo yake mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),aliyotunukiwa kwa mchango wake mkubwa kwa shughuli mbalimbali za kijamii,katika tamasha la pasaka.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika tamasha la 15 la Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU‏

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Membe atoa rai kwa viongozi wa dini zote pamoja serikali kuhimiza vijana waipende dini ili kudumisha amani, utulivu na uadilifu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG. Askofu David Mwasota wa Kanisa la Naioth Gospel Assembly akisoma hotuba amempongeza Mhe. Bernard Membe kwa kujumuika na Watanzania katika Tamasha la kumi na tano la...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MHE. BERNARD MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE PAMOJA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA KUFANIYIKA JIJINI DAR DESEMBA 31,2014

 Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi  ya Mkesha Mkubwa wa kuliombea Kitaifa ,Askofu Godfrey Emmanuel Malassy (wa Nne  kutoka kulia) akiongea  na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mkesha huo utakaofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Desemba 31,2014.Dhima ya mkesha wa mwaka huu ni kumshukuru Mungu kwa awamu 4 ya uongozi wa Taifa letu na kuliombea Taifa katika kipindi chote cha mchakato wa uchanguzi mkuu wa mwaka 2015.Kutoka kulia ni Askofu Nickson Kallinga, Mchungaji...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA FELLOWSHIP CHURCHES KUFANYA MKESHA MKUBWA WA KITAIFA KULIOMBEA TAIFA.

                             Na Bakari  Issa,Dar  es Salaam.


Uongozi  wa  Tanzania Fellowship  Churches  unatarajia kufanya mkesha  mkubwa  kitaifa wa kuliombea  Taifa,Desemba 31 katika uwanja wa Taifa jijini  Dar es Salaam.


Mkesha huo una lengo la kuliweka Taifa mbele ya usalama wa Mungu pamoja na kupatikana amani  na utulivu kwa Taifa zima kwa ujumla.


Akithibitisha kuwepo kwa  mkesha huo   kitaifa,Mwenyekiti  wa mkesha  huo kitaifa,Mchungaji  Geodfrey  Mallasy  amesema mkesha huo una lengo ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa

PICHA 2

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Makanisa ya Kipentekoste (Tanzania Fellowship of Churches) Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo 22 Desemba, katika Ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya Mkesha Mkubwa wa Kitaifa wa kuliombea Taifa pamoja na dua maaum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika dua hiyo. Kulia ni Mwanakamati wa Jumuiya...

 

9 years ago

MillardAyo

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 20, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 20, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Magereza ya Keko, Ukonga na Segerea yalemewa wafungwa na mahabusu, Serikali […]

The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 20,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani