Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKESHA WA MWAKA MPYA KITAIFA KUFANYIKA VIWANJA VYA UHURU DESEMBA 31.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii.MAASKOFU na Wachungaji wa kamati ya maandalizi ya Mkesha wa mwaka mpya Kitaifa kufanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 31,Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Askofu Godfrey Malassy, wamewaomba watanzania wote kujitokeza siku ya Desemba 31 katika kuliombea Amani na Utulivu wa Taifa letu.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste , ambaye pia ni Askofu wa huduma ya Tanzania Fellowship Churches (TFC), Askofu ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MWAKA 2015 KUFANYIKA KITAIFA DESEMBA MOSI MKOANI SINGIDA


Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.

Na Dotto Mwaibale
 MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi nchini yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne...

 

11 years ago

Habarileo

Mkesha wa kitaifa wa dini zote Desemba 31

KAMATI ya Mkesha wa Kitaifa-Dua Maalumu imepanga kufanya mkesha wa kitaifa, utakaoshirikisha wananchi wote na waumini wa dini zote, ili kuiombea nchi iendelee kuwa na amani na utulivu.

 

10 years ago

Michuzi

OLD IS GOLD TAARAB KUFANYIKA MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA SAFARI CARNIVAL

Na Andrew Chale
SAFARI Carnival kwa kushirikiana na Asia Idarous Khamsin (Fabak fashions) usiku wa 31/12/2014, Wameandaa shoo maalum ya Mkesha wa mwaka mpya 'Old Is Gold taarab', Ndani ya ukumbi wa Safari Carnival, Kawe jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin alieleza shoo hiyo maalum wadau
mbalimbali watakutana kuupokea mwaka kwa pamoja huku wakipata burudani ya muziki wa taarab wa zamani 'Old is Gold' pamoja na 'Surprise' kibao.
"Kwa kiingilio cha...

 

10 years ago

GPL

MKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua maalumu), Askofu Godfrey Mallassy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkesha huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Desemba 31 mwaka huu. Kulia ni Askofu William Mwamalanga wa Kanisa la Kiinjili la Kipentecoste Tanzania.  Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua Maalumu), Askofu Godfrey Mallassy. Kutoka kulia...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA TASWA KUFANYIKA DESEMBA 12 MWAKA HUU

TUZO za Wanamichezo Bora wa Tanzania zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) zinatarajiwa kufanyika Desemba 12 mwaka huu, huku Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group Limited ikijitokeza kuwa mdhamini mshiriki wa tuzo hizo kwa kutoa Sh. Milioni 10. Akizungumza na waandishi wa habari katika mgahawa wa City Sports Lounge, Dar es Salaam katika hafla ya kutangaza udhamini huo jana, Meneja Mkuu wa SSB Limited, Said Muhammad Said alisema wameamua kudhamini tuzo...

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA MKESHA WA FASHFASH VIWANJA VYA MAISARA, ZANZIBAR

Wananchi wakiwa katika viwanja vya maisara wakisubiri muda ili kushuhudia upigaji wa fashfashi kwa ajili ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, katika viwanja vya maisara kushiriki katika hafla hiyo ya maadhimisho.Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Mhe Ayoub Mahmoud, alipowasilin katika viwanja hivyo kushiriki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya Mazingira Kitaifa kufanyika Mkoani Tanga, Juni 5 mwaka huu

PIX-1-2Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge (Pichani)

 

NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea  kukabiliana na changamoto za uharibifu  wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji  wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya  maadhimisho ya Siku ya Mazingira...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania. PICHA NA KILIMANJARO STUDIOWafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani