Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA MKESHA WA FASHFASH VIWANJA VYA MAISARA, ZANZIBAR

Wananchi wakiwa katika viwanja vya maisara wakisubiri muda ili kushuhudia upigaji wa fashfashi kwa ajili ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, katika viwanja vya maisara kushiriki katika hafla hiyo ya maadhimisho.Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Mhe Ayoub Mahmoud, alipowasilin katika viwanja hivyo kushiriki...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar  leo asubuhi katika kusherehekeka mfunguo wa Mwezi Mtukufu wa  Ramadhan Baadhi ya Mashekhe na Vingozi wakijumuika na waumini mbalimbali na Viongozi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini...

 

11 years ago

GPL

SWALA YA EID EL FITRI ILIYOSWALIWA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN MJINI ZANZIBAR LEO ASUBUHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA

         Na: Hassan Hamad, OMKR. 
Chama Cha Wananchi CUF kimefunga rasmi kampeni zake za uchaguzi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka wadau wa uchaguzi kuheshimu maamuzi ya wananchi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.Akizungumza kwenye mkutano huo wa ufungaji wa kampeni uliofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuiweka Serikali madarakani, hivyo...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA KITAIFA KUFANYIKA VIWANJA VYA UHURU DESEMBA 31.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii.MAASKOFU na Wachungaji wa kamati ya maandalizi ya Mkesha wa mwaka mpya Kitaifa kufanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam Desemba 31,Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Askofu Godfrey Malassy, wamewaomba watanzania wote kujitokeza siku ya Desemba 31 katika kuliombea Amani na Utulivu wa Taifa letu.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste , ambaye pia ni Askofu wa huduma ya Tanzania Fellowship Churches (TFC), Askofu ...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kwenye show ya Kili Fest viwanja vya Leaders usiku wa jana

DSC_1967Mwanamuziki wa Bongo, Farid Kubanda ama Fid Q, akipagawisha jukwaani wakati wa tamasha la KiliFest ndani ya viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam.  Fid Q, aliweza kukonga nyoyo kwa kupiga nyimbo mbalimbali huku akiwapagawisha na freestyle za papo kwa papo hali iliyoinua shangwe za mara kwa mara kutoka kwa mashabiki lukuki waliojitokeza kwenye shoo hiyo hapo jana usiku.( Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

DSC_1899

DSC_1896

Mwanamuziki wa  Rubby,  akipagawisha jukwaani wakati wa tamasha la...

 

10 years ago

Michuzi

Bonaza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja Usiku Huu

Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja, Unguja, usiku huuKikosi cha timu ya Mkunazini katika michuano ya Bonaza Kombe la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni.  Timu ya Miembeni inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

onaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0

Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja

Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani  iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.

Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani