Matukio mbalimbali kwenye show ya Kili Fest viwanja vya Leaders usiku wa jana
Mwanamuziki wa Bongo, Farid Kubanda ama Fid Q, akipagawisha jukwaani wakati wa tamasha la KiliFest ndani ya viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam. Fid Q, aliweza kukonga nyoyo kwa kupiga nyimbo mbalimbali huku akiwapagawisha na freestyle za papo kwa papo hali iliyoinua shangwe za mara kwa mara kutoka kwa mashabiki lukuki waliojitokeza kwenye shoo hiyo hapo jana usiku.( Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).
Mwanamuziki wa Rubby, akipagawisha jukwaani wakati wa tamasha la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM04 Jun
9 years ago
Bongo Movies30 Aug
Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA
Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA
Credit:MillardAyo.Com
10 years ago
GPLBURUDANI ZA KILI MUSIC TOUR NDANI YA LEADERS CLUB JIJINI DAR USIKU HUU
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZIkWS2bCyyA/U8w1EAWx9wI/AAAAAAAF4L0/8Oao1XOMbGA/s72-c/unnamed+(9).jpg)
7th Auto Fest 2014 CALLING EXHIBITORS "Tanzania's Premier Automotive Event" Tarehe 19 - 21 September '14 , Viwanja vya BAIFRA Kinondoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZIkWS2bCyyA/U8w1EAWx9wI/AAAAAAAF4L0/8Oao1XOMbGA/s1600/unnamed+(9).jpg)
UNAKARIBISHWA KUCHUKUA NAFASI YAKO MAPEMA KAMA UNAHUSIKA NA:Commercial Vehicles 4 WD'sTransportation VehiclesMotorcycles & ScootersAuto Spare PartsTyres &...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-pBXSbUhBohY/VEOWWEC-VdI/AAAAAAACRzs/EQWc9EYISFw/s72-c/IMG_20141018_182334.jpg)
MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ALIPOUNGURUMA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-pBXSbUhBohY/VEOWWEC-VdI/AAAAAAACRzs/EQWc9EYISFw/s640/IMG_20141018_182334.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AycYI3liuZM/VEOWYgbV02I/AAAAAAACRz0/EzRTKrGfc5s/s640/IMG_20141018_182341.jpg)
9 years ago
Bongo Movies29 Dec
Hiki Ndicho Kilichotoakea Kwenye House Party ya Shilole ‘Karunguyeye’ Usiku wa Jana
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole aka shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake.
Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo.
Hizi ni baadhui ya picha za pati hiyo.
11 years ago
GPLVODACOM EXPO LAANZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
10 years ago
VijimamboUSIKU WA MKESHA WA FASHFASH VIWANJA VYA MAISARA, ZANZIBAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBD1iMIQhg8c220WEX4inmmR08BScEAm9bs8JaHOuwAv7QWDSXeb99sTUMQ2BHiPlZwMPtvAhpLCmavm1VMyhYl3/IMG20140520WA0010.jpg?width=650)
MWILI WA MSANII KUAMBIANA WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB