MKEWE SHETTA AKATAA GARI
![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3NS*bJ9wo7GK44XdnTLdmyhNWR9jqrNbYwo-R1rXLCuZClXxmW7cWmlL2ucr0HalpZVQIcfAkPJj7UqyNxJIEbY/WDWR.jpg?width=650)
Gladness Mallya KATIKA kuhakikisha anainusuru ndoa yake iliyotikisika kufuatia madai ya kutoka na muigizaji Rose Ndauka, msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilal ‘Shetta’ amemnunulia mkewe gari aina ya Toyota Mark X lenye thamani ya shilingi milioni 19, lakini bibie huyo amelikataa na kuendelea kuishi mbali naye. Mke wa Sheta(Leila Yusuf) Akipiga stori na gazeti hili, Shetta alisema mpaka sasa mkewe huyo, Leila Yusuf bado...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Mkewe Shetta Akataa Gari, Rose Ndauka Atajwa
Kwa mujibu wa gazeti la leo la Risasi, inadaiwa kuwa katika kuhakikisha anainusuru ndoa yake iliyotikisika kufuatia madai ya kutoka na muigizaji Rose Ndauka, msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilal ‘Shetta’ amemnunulia mkewe gari aina ya Toyota Mark X lenye thamani ya shilingi milioni 19, lakini bibie huyo amelikataa na kuendelea kuishi mbali naye.
Akiongea na gazeti hilo, Shetta alisema mpaka sasa mkewe huyo, Leila Yusuf bado hajarudi nyumbani kwake kwani alifanya hivyo kama mojawapo ya njia...
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-iYI46z3__8c/VgRkWQ59Z9I/AAAAAAAD9Rs/RaSxAG_3anI/s72-c/makete.jpg)
Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari
![](http://4.bp.blogspot.com/-iYI46z3__8c/VgRkWQ59Z9I/AAAAAAAD9Rs/RaSxAG_3anI/s640/makete.jpg)
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.
Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.
Hata hivyo, hali...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAbI6LLVl1tcfLxXL3lpa612ruj3el0tKyrKRZnmS19cj8o2QVpIkccnWdRROzZ69XO7NPAzWhLEZvxRp9PRSv4j/sheta.jpg)
SHETTA AMWAGIWA UJI WA MOTO
11 years ago
CloudsFM30 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/f6SWgbC9I2I/default.jpg)