Mkishindwa nipisheni – Magufuli
Na Elias Msuya
RAIS John Magufuli amewataka makatibu na manaibu makatibu wakuu walioapishwa jana kukubali ahadi ya uadilifu wa viongozi na asiyetaka akae pembeni.
Akizungumza baada ya kuwaapisha makatibu na manaibu makatibu wakuu katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema hakuna aliyelazimishwa kula kiapo cha ahadi za uadilifu wa uongozi wa umma, hivyo asiyetaka akae pembeni.
“Tusije tukawa tunazungumza hapa kwa ‘generalization’ (kwa ujumla), lakini kumbe si wote wanakubali hayo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnT5wfGNAfOgzUkx-j4vc7H*wLkhKyrje7rUMTY7*XlIfZ9*6K6sYY-WUirn2u3sXqvL-R3yeKzplWGNN7-Of8tWlRmQoJK6/Joanitacut561.jpg?width=650)
JOANITA:NIPISHENI MKONGWE NIMERUDI
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Mkishindwa kuijadili rasimu turejesheeni wenyewe
HOFU iliyokuwa imeelezwa awali sasa imejidhihirisha. Wakati tulipoonya awali kuwa kuwarundika wanasiasa wengi kwenye Bunge Maalumu kungeleta matatizo, tulipingwa. Lakini kwa sababu tuliotoa onyo hilo ni waungwana, tulikubali kushindwa kwa...
11 years ago
Habarileo20 Jul
‘Mkishindwa kutekeleza ya viongozi wa dini vaeni kondomu
RAIS Jakaya Kikwete amesema, viongozi wa dini wakiwemo mapadri, maaskofu na mashehe hawawezi kuwaeleza watu watumie kondomu wakati wa kujamiiana, lakini yeye haoni aibu kuwashauri hivyo, kwa kuwa anataka kuokoa maisha ya wananchi ili nyumba za ibada zisikose waumini.