JOANITA:NIPISHENI MKONGWE NIMERUDI
![](http://api.ning.com:80/files/XnT5wfGNAfOgzUkx-j4vc7H*wLkhKyrje7rUMTY7*XlIfZ9*6K6sYY-WUirn2u3sXqvL-R3yeKzplWGNN7-Of8tWlRmQoJK6/Joanitacut561.jpg?width=650)
 Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’. Stori: Imelda Mtema I’AM back! Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’ amefunguka kuwa baada ya kupumzika kwa muda katika mambo ya fi lamu, sasa amerejea upya hivyo wale wanaojiita mastaa wakae chonjo. kizungumza na Ijumaa Wikienda, Joanita ambaye alitamba na sinema kama Sikio...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Mkishindwa nipisheni – Magufuli
Na Elias Msuya
RAIS John Magufuli amewataka makatibu na manaibu makatibu wakuu walioapishwa jana kukubali ahadi ya uadilifu wa viongozi na asiyetaka akae pembeni.
Akizungumza baada ya kuwaapisha makatibu na manaibu makatibu wakuu katika Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema hakuna aliyelazimishwa kula kiapo cha ahadi za uadilifu wa uongozi wa umma, hivyo asiyetaka akae pembeni.
“Tusije tukawa tunazungumza hapa kwa ‘generalization’ (kwa ujumla), lakini kumbe si wote wanakubali hayo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSWpCIjID-H*X4U9q2BKUibitrIW*j5N2xAXoWQq5*KpZihSD-jwcmTCTfS0K2lfhU1CozU3AYcUcKQJKmrGSxLY2d4oAnVm/njjknjnj.jpg?width=650)
MSUYA WA BSS: NIMERUDI KWENYE WOKOVU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKUjSlGvWcw79TogpBxsKG0B4tt93bDt6LWw2eiT9luuQP*a4a9m*S9gvOMi19Qa7OBPCtuS7aONDV8kMPaiXB-V/Untitled2.jpg)
Mrisho Ngassa: Nimerudi Yanga kuaga, naondoka
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Joanita aja na Yote ni Baba
MWIGIZAJI wa kike wa Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’, anakuja na filamu yake mpya na ya kwanza mwaka huu itwayo ‘Yote ni Baba’, yenye lengo la kutoa elimu kwa mama wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Joanita akerwa na utapeli wa mastaa
MSANII wa filamu nchini, Fatuma Makame ‘Joanita’, amekerwa na kitendo kinachofanywa na ‘mastaa’ wa filamu kwa kubuni njia ya kuwatapeli watu wa mikoani kwa kisingizio cha kusaka wasanii wenye vipaji....
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Joanita: Filamu zetu unaangalia hata na mkweo
Msanii wa ‘long time’ kwenye ulimwengu wa uigizaji Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’ amesema kuwa, filamu zinazoandaliwa na kampuni inayoandaa na kusambaza filamu ya Hamdombe zinaangalia maadili kiasi kwamba, unaweza kuangalia ukiwa na mwanao au mkweo.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Joanita alisema kuwa wameona ni vyema kuandaa filamu za aina hiyo ili kutoharibu jamii lakini pia kuelimisha na kuburudisha bila kujali rika kama itakavyokuwa kwenye filamu yao mpya itakayotoka baada ya...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Joanita aipeleka Ijumaa Sexiest Girl, Dar Live
Fatuma Makame ‘Joanita’.
ANDREW CARLOS
dhamini wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Fatuma Makame ‘Joanita’ ambaye ni Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, kampuni inayodili na uandaaji na usambazaji wa filamu Bongo amependekeza mshindi akatangazwe ndani ya Ukumbi wa Dar Live siku ya Krismasi na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Washiriki walioingia tatu bora ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivyo mshindi atakuwa miongoni mwao.
Tukio hilo litakwenda...
11 years ago
BBCSwahili24 May
Mwanamke mkongwe zaidi Marekani
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mji Mkongwe Zanzibar hatarini
MJI Mkongwe wa Zanzibar unadaiwa kuwa katika hatari ya kuondolewa kwenye ramani ya Hifadhi ya Urithi wa Kimataifa. Hali hiyo inatokana na hujuma zinazofanywa na watu wasiofahamika kwenye miundombinu yake, ikiwemo nguzo za taa.