Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke mkongwe zaidi Marekani

Jeralean Talley, ni Mwanamke mkongwe zaidi nchini Marekani mmoja wa watu wachache waliozaliwa katika karne ya 19, amefikisha miaka 115.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Rapper mkongwe wa Marekani, LL Cool J awashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa Kiswahili

Rapper na muigizaji mkongwe wa Marekani, James Todd Smith akifahamika zaidi kwa jina la LL Cool J ameamua kuwa-surprise mashabiki wa Afrika mashariki kwa kuwashukuru kwa kisichojulikana, lakini kilichovuta ‘attention’ zaidi ni lugha aliyotumia, amewashukuru kwa Kiswahili. Rapper huyo amepost video Instagram akisema “Kwa fans wangu wa Afrika Mashariki asante sana”, na kumaliza kwa kicheko. […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Magari zaidi ya tani mbili yazuiwe Mji Mkongwe — Balozi Ali Seif Idd

226

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika pamoja na baadhi ya wananchi kuangalia athari iliyojichomoza kwenye nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim baada ya ukuta na dari yake kuanguka  saa sita usiku juzi mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.

227

Sehemu ya mbele ya Nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim iliyoporomoka  Mtaa wa Vuga mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja.Hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na athari hiyo.

228

 Athari ya...

 

9 years ago

Michuzi

JUKWAA LA SANAA LAFANA, MSANII MKONGWE AISHIYE MAREKANI SALMA MOSHI AWALIPIA WASANII BIMA YA AFYA


Jukwaa La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya zaidi ya masaa matano. Wasanii takriban 70 walikaa wakichambua maada mbalimbali kuhusu mustakhabari wa sanaa katika nchi yetu. Jambo ambalo liliingiza changamoto katika jukwaa hili, ni kuweko katika meza kuu wasanii wawili ambao walianza sanaa nchini na hatimae kuhamia ughaibuni ambako ndiko wanaishi kwa sasa.
Wasanii Salma Moshi aliyekuwa akijulikana kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani

Mwanamke wa Sudan aliyetoroka kutoka nchini humo baada ya kunusurika hukumu ya kifo kwa kosa la ‘kuasi dini ya kiislamu’,Meriam Yahia Ibrahim Ishag, amewasili Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Lupita:Mwanamke mrembo zaidi 2014

Jarida maarufu la People nchini Marekani limemtangaza Mkenya Lupita Nyong’o kama mwanamke mrembo zaidi duniani mwaka 2014.

 

9 years ago

Bongo5

Mwanamke ashambuliwa kwa kuzungumza Kiswahili Marekani

woman

Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili.

woman

Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo yakiendelea kabla ya kujeruhiwa vibaya mdomoni. Mwanamke aliyekuwa amekaa jirani yake alimponda na glasi nzito ya bia mdomoni.

Sababu? Jama alikuwa akizungumza Kiswahili na familia yake.

“Siamini baada ya miaka yote hii mtu ananipiga sababu niko tofauti,” alisema Jama. “Mtu ananipiga kwasababu...

 

10 years ago

Mwananchi

Metthews; Mwanamke anayepamba na uhalifu nchini Marekani

Miezi miwili iliyopita kulifanyika hafla ya kuwatuza wanawake wenye mchango katika jamii ya watu wa Marekani. Ameena Matthews ni miongoni mwa wanawake hao waliotambuliwa mchango wao, na kufanikiwa kupata tuzo hizo muhimu.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kuwekeza zaidi katika kumkomboa Mwanamke

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodafone, Jacqueline Barrett, akizungumza na wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, katika hafla iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa wanawake wa Kampuni hiyo ikiwa ni katika Shamra Shamra za kuelekea katika kuazimisha siku ya Wanawake duniani. Kampuni hiyo imeahidi kuendeleza kuunga mkono harakati za kumkomboa mwanamke. Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, wakimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodafone, Jacqueline Barrett, katika hafla...

 

10 years ago

StarTV

Sura ya mwanamke kuwa katika noti mpya Marekani.


Benki Kuu ya Marekani

Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya karne moja, noti mpya ya dola kumi nchini Marekani itakuwa na picha na mwanamke.

Wizara ya Fedha ya Marekani imewataka wananchi wa Marekani kutoa mawazo yao ni picha ya mwanamke gani ichapishwe kwenye noti hiyo.

Wizara hiyo imesema inatafuta kile kinachoelezwa kuwa demokrasia shirikishi.

Kwa sasa noti za Benki Kuu ya Marekani zilizo katika mzunguko wa fedha zinawaonyesha viongozi wa zamani wa kisiasa—-wote wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani