Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lupita:Mwanamke mrembo zaidi 2014

Jarida maarufu la People nchini Marekani limemtangaza Mkenya Lupita Nyong’o kama mwanamke mrembo zaidi duniani mwaka 2014.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?

Nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine kama chaguo lake la mwaka 2015.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wamuandama mrembo zaidi Japan

Malkia wa urembo nchini Japan akanwa na wajapan kwa sababu babake ana asili ya Kiafrika

 

10 years ago

Mwananchi

Angel Locsin: Mrembo mkali zaidi nchini Ufilipino

Ucheshi na ukarimu ni sifa za msingi walizonazo watu wa Ufilipino. Lakini kingine cha ziada walichojaaliwa watu wa taifa hili, ni uwepo wa warembo wenye kuvutia.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Lupita Nyong’o akava jarida la Glamour (Woman of the Year 2014)

Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o na mshindi wa tuzo za Oscar kutokana kuigiza filamu ya 12 Years A Slave, amekava jarida la Glamour katika toleo lake la ‘Woman of the Year 2014. Jarida hilo limeandika: In the past year, the 31-year-old star’s life has unfolded like a fairy tale. In a series of breathtaking coups, […]

 

10 years ago

Bongo5

Kristina Pimenova: Mtoto wa miaka 9 ndiye msichana mrembo zaidi duniani (picha)

Jarida la Women Daily lilimtaja Kristina Pimenova, mtoto mwenye miaka 9 kuwa msichana mrembo zaidi duniani. Kristina, kutoka Urusi alianza masuala ya modelling akiwa na miaka minne na tayari ameshafanya kazi na wabinifu wakubwa wa mavazi wakiwemo Roberto Cavalli na Benetton. Tayari ameshaokava pia jarida la Vogue Bambini. Tazama picha zake zaidi.

 

11 years ago

GPL

NANI MBUNGE MREMBO MWENYE MVUTO 2014?

Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe Mrembo mwenye mvuto 2014? Ukiwa shabiki namba moja wa safu hii unapata nafasi ya kutuma jina au majina ya wabunge wanaostahili kuingia kwenye kinyang’anyiro hiki. Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA

Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles. Chris Brown akifanya makamuzi wakati wa utoaji tuzo za BET. WASHINDI WA TUZO HIZO NI KAMA IFUATAVYO: Best Female R&B/Pop Artist…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani