Joanita: Filamu zetu unaangalia hata na mkweo
Msanii wa ‘long time’ kwenye ulimwengu wa uigizaji Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’ amesema kuwa, filamu zinazoandaliwa na kampuni inayoandaa na kusambaza filamu ya Hamdombe zinaangalia maadili kiasi kwamba, unaweza kuangalia ukiwa na mwanao au mkweo.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Joanita alisema kuwa wameona ni vyema kuandaa filamu za aina hiyo ili kutoharibu jamii lakini pia kuelimisha na kuburudisha bila kujali rika kama itakavyokuwa kwenye filamu yao mpya itakayotoka baada ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Hata katika Halmashauri zetu kuna ‘Panya Road’
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Yusuph Mlela: Sijaona Tofauti ya Filamu Zetu na za Nje
Mwigizaji Mlela anasema anasema tofauti kubwa ya filamu nje yaani Africa, Ulaya na America na zile za bongo ni fedha tu. Wenzetu wanawekeza fedha nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi. Je wewe mdau unaamini maneno yake?.
Kwamba kama tukiamua siku moja kuwekeza pesa nyingi katika filamu zetu siku moja Mlela anaweza kuingia katika tuzo za Oscar kupambana na wakina Denzel Washngton au Jammie Fox?
Napata mashaka kidogo mimi naamini tofauti ni kubwa zaidi ya pesa.
By Iron Finger Via JF
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mangula: Hata mkiandamana bure, Katiba haitabadilishwa hata nukta
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Joanita aja na Yote ni Baba
MWIGIZAJI wa kike wa Bongo, Fatuma Makame ‘Joanita’, anakuja na filamu yake mpya na ya kwanza mwaka huu itwayo ‘Yote ni Baba’, yenye lengo la kutoa elimu kwa mama wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Joanita akerwa na utapeli wa mastaa
MSANII wa filamu nchini, Fatuma Makame ‘Joanita’, amekerwa na kitendo kinachofanywa na ‘mastaa’ wa filamu kwa kubuni njia ya kuwatapeli watu wa mikoani kwa kisingizio cha kusaka wasanii wenye vipaji....
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnT5wfGNAfOgzUkx-j4vc7H*wLkhKyrje7rUMTY7*XlIfZ9*6K6sYY-WUirn2u3sXqvL-R3yeKzplWGNN7-Of8tWlRmQoJK6/Joanitacut561.jpg?width=650)
JOANITA:NIPISHENI MKONGWE NIMERUDI
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Joanita aipeleka Ijumaa Sexiest Girl, Dar Live
Fatuma Makame ‘Joanita’.
ANDREW CARLOS
dhamini wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Fatuma Makame ‘Joanita’ ambaye ni Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, kampuni inayodili na uandaaji na usambazaji wa filamu Bongo amependekeza mshindi akatangazwe ndani ya Ukumbi wa Dar Live siku ya Krismasi na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Washiriki walioingia tatu bora ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivyo mshindi atakuwa miongoni mwao.
Tukio hilo litakwenda...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.