Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSUYA WA BSS: NIMERUDI KWENYE WOKOVU

Gabriel Ng’osha
MSHINDI wa shindano la Bongo Star Search (BSS) mwaka 2013, Emmanuel Msuya amefunguka kuwa hajafulia kama baadhi ya watu wanavyodai, isipokuwa ameamua kurudi kwenye wokovu kama awali. Mshindi wa shindano la Bongo Star Search (BSS) mwaka 2013, Emmanuel Msuya. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko juzi, alisema wengi wanajua amefulia, lakini ukweli yupo vizuri na anaendelea na muziki kama kawaida na hivi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Nigeria kutumbuiza kwenye fainali za BSS Oct 9, mfahamu hapa

Msanii wa Nigeria, Runtown ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search, imefahamika. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production na ambaye pia ni jaji mkuu wa shindano hilo, Rita Paulsen alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki kwenye Instagram Jumatano hii. Madam Rita amedai kuwa pamoja na Runtown […]

 

10 years ago

Bongo5

Walter Chilambo adai hajawahi kutumia milioni 50 za BSS kwenye muziki wake

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013, Walter Chilambo amesema hajawahi kutumia pesa aliyoshinda kwenye Shindano hilo kwa shughuli zake za muziki. “Milioni 50 nilizozipata nimezitumia kwa mambo mengine kabisa kama kununua gari na mengine ya kimaisha zaidi ya muziki, Chilambo aliiambia tovuti ya Times FM. Chilambo amesema kazi zake za muziki zilikuwa zikisimamiwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Christian Bella adai fedha alizotunzwa kwenye fainali ya BSS ni shilingi milioni 3.2

Christian Bella amesema show yake ya fainali ya Bongo Star Search Ijumaa iliyopita, ilimuingiza fedha za kutunzwa nyingi zaidi kuliko show zote alizowahi kufanya. Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni 3 na hivyo anawashukuru watanzania kwa upendo wanaomwonyesha. “Unajua mimi nimekuwa nikitunzwa pesa nyingi lakini haikuwahi kufika […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Runtown akisindikizwa na wasanii wa Tanzania, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu, Yamoto Band pamoja na Kala Jeremiah walitumbuiza kwenye fainali za shindano la Bongo Star Search (BSS) zilizofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga, jijini Dar es Salaam. Runtown akionyesha maujanja yake Licha ya burudani hizo kutoka kwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Salma wa BSS 2013 aungana na Mi Casa Cassper Nyovest, Donald, Oliver Mtukudzi kwenye Coke Studio SA

Aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye mashindano ya Bongo Star Search mwaka 2013, Salma Yusuf ameungana na mastaa wa Afrika Kusini kwenye msimu mpya na wa kwanza wa Coke Studio South Africa. Salma Yusuf (wa pili kutoka kulia) aliwahi kuwa muimbaji wa Skylight Band Show ya kwanza ilioneshwa wiki iliyopita na kuwashirikisha wasanii wakubwa wakiwemo […]

 

9 years ago

GPL

JOANITA:NIPISHENI MKONGWE NIMERUDI

 Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’. Stori: Imelda Mtema I’AM back! Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’ amefunguka kuwa baada ya kupumzika kwa muda katika mambo ya fi lamu, sasa amerejea upya hivyo wale wanaojiita mastaa wakae chonjo. kizungumza na Ijumaa Wikienda, Joanita ambaye alitamba na sinema kama Sikio...

 

10 years ago

GPL

Mrisho Ngassa: Nimerudi Yanga kuaga, naondoka

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa, amesema kuwa amerejea kundini kuitumikia timu hiyo kwa moyo mmoja lakini kubwa zaidi ni kuwa anataka kuwaaga mashabiki wa Jangwani. Tangu siku kumi zilizopita, Ngassa hakuonekana Jangwani huku Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Kiboroha akisikika akisema wamedokezwa kuwa staa huyo amekwenda Afrika Kusini kufanya...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE APEWA DARASA LA WOKOVU

Stori: imelda mtema
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa jukwaani akifanya shoo ya kidunia na kupewa darasa la wokovu. Zuwena Mohamed ‘Shilole’(kulia) na Mchungaji. Tukio hilo lililowagusa wengi, lilitokea juzikati katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar ambapo mchungaji huyo ambaye hakupenda kujitambulisha jina lake, alifuatilia shoo ya Shilole kisha akamwita kumpa darasa la...

 

10 years ago

Dewji Blog

PPF yatoa msaada kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi, Shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani