Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKOA WA NJOMBE WAADHIMISHA SIKU YAKE YA KUPANDA MITI 10 JANUARI


Wananchi wa Mkoa wa Njombe wametakiwa kupanda miti kibiashara  ili hatimaye kuongeza kipato katika familia zao. Wameagizwa pia kuitunza miti wanayoipanda na kusubiri ifikie umri wa kuvunwa ndipo ikatwe.
Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dr. Rehema Nchimbi (pichani) jana tarehe 10 Januari 2015 alipozungumza kama Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Kupanda Miti katika ngazi ya Mkoa.
Katika maadhimisho hayo ambayo mwaka huu yalifanyika wilayani Makete jumla ya miti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

9 years ago

GPL

CHAMA CHA WAANDISHI MTWARA CHAENDESHA ZOEZI LA USAFI NA KUPANDA MITI KATIKA HOSPITALI YA MKOA HUO

Mwandishi wa habari wa Mwananchi Communication,Haika Kimaro(kushoto) pamoja na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu wakishiriki kufanya usafi katika hospitali ya mkoa wa Mtwara. Ambapo chama cha waandishi wa habari cha mkoa huo kwa kushirikia na Vodacom Tanzania na vijana waliohadhirika na madawa ya kulevya vilianda shughuli hiyo na kupanda miti 10 kuzunguka hospitali hiyo.… ...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI YA KUZUIA MMOMOMYOKO WA ARDHI KWENYE ENEO LA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo la bandari ya Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’. Sehemu ya wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake wakiwa kwenye zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

GPL

KINONDONI MWENYEJI WA SIKU YA UPANDAJI MITI MKOA WA DAR ES SALAAM KESHO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la wilaya hiyo kuhusu uzinduzi wa siku ya upandaji…

 

10 years ago

GPL

SIKU YA UKIMWI DUNIANI; MKOA WA NJOMBE BADO UNAONGOZA KWA MAAMBUKIZI

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani isemayo, Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo Vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kupanda miti

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Solar Oven Society Africa limetaka jamii kupanda miti kwa wingi katika maeneo yao ili kulinda na kuhifadhi mazingira na kuepusha nchi kugeuka jangwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kupanda miti

MKUU wa Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, Evarista Kalalu, amewataka wananchi  wa wilaya hiyo kujenga tabia ya kupanda miti na kutunza mazingira kwa lengo la kukabiliana na changamoto za mabadiliko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani