Mkurugenzi amvimbia Pinda
SIKU chache baada ya wananchi wa wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kumtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda amwondoe mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Hilda Lauwo kwa madai ya kushindwa kuendesha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Maswa wataka Pinda amtimue mkurugenzi
WANANCHI wilayani Maswa, Simiyu, wamemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumwondoa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Hilda Lauwo, kwa madai hana uwezo wa kuongoza halmashauri hiyo. Wananchi wamefikia...
10 years ago
MichuziMKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
10 years ago
Dewji Blog15 May
Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
11 years ago
Michuzi28 Jul
MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR
![](https://1.bp.blogspot.com/-OCYa-tI_spU/U9VQVqSeuPI/AAAAAAACzwg/E2bIXHalb1Q/s1600/20140727_190328.jpg)