MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA AAGWA RASMI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/237.jpg)
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akitoa shukurani zake kwa uongozi wa NHIF na wafanyakazi kwa ujumla kwa kuwaadalia hafla hiyo ya kuwaaga. Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipokea shada la maua kutoka kwa Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Mkurugenzi mkuu mstaafu wa NHIF Bw. Emmanuel Humba aagwa rasmi
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo Emanuel Humba pia...
10 years ago
Michuzi16 Feb
HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA YAFANA SANA JIJINI DAR
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/150.jpg)
10 years ago
MichuziMstaafu CAG kutuzwa; Aagwa rasmi na Ikulu
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/212.jpg)
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni wa WHUSM Profesa Hermas Mwansoko aagwa rasmi
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R2u48nnfjRQ/VMd2qlr9JgI/AAAAAAACypQ/BAfrfsty-48/s72-c/utouh120.jpg)
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-R2u48nnfjRQ/VMd2qlr9JgI/AAAAAAACypQ/BAfrfsty-48/s1600/utouh120.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qw-Qbx5TFnw/VMd2rfr2zTI/AAAAAAACypU/DEOpnz5siAE/s1600/utouh9115.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YmesXhWnzfk/VMd2r70rM8I/AAAAAAACypc/zvBGGotEFbY/s1600/utouh9117.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I3dypOdGvF24qOS1oIrETWRsFpwIJ-m8pCjA55zHHa5I3LUEf23Mi2epb*hS0zrcHdIP0vgImAe*dwJuwJpYfgSl0Bh8Vlge/utouh120.jpg)
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qSgurokd8S8/VHtBC7dYauI/AAAAAAABOVk/uOmmnvr-Jl8/s72-c/0.jpg)
Tughe NHIF wamzawadia Humba mil.10
![](http://4.bp.blogspot.com/-qSgurokd8S8/VHtBC7dYauI/AAAAAAABOVk/uOmmnvr-Jl8/s1600/0.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TKuFewvRKvM/VHtAwuMqA3I/AAAAAAABOVY/am7Xlcq-2w0/s1600/1.jpg)