Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tughe NHIF wamzawadia Humba mil.10

 Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba akisalimiana na wafanyakazi wa mfuko wakati wa hafla ya kumuaga ambapo Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kimemkabidhi zawadi ya sh. milioni 10 aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko huo, Emmanuel Humba kutokana na kuthamini mchango wake kabla hajastaafu. Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la NHIF, Gabriel...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF shikamaneni kwenye kazi - Humba

WATUMISHI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, (NHIF) wametakiwa kushikamana kwa pamoja na kufanya kazi bila kujali muda wa kazi ili kuhakikisha shirika hilo linabaki na heshima yake huku wanachama wakihudumiwa kwa heshima.
Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bw. Emanuel Humba katika hafla ya kuaagwa wastaafu wa Mfuko huo.
Bw. Humba ambaye naye alikuwa ni miongoni mwa waagwa, alisema kuwa mbinu kubwa ya kushinda katika utenda kazi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi mkuu mstaafu wa NHIF Bw. Emmanuel Humba aagwa rasmi

1

Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo Emanuel Humba pia...

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA AAGWA RASMI‏

Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akitoa shukurani zake kwa uongozi wa NHIF na wafanyakazi kwa ujumla kwa kuwaadalia hafla hiyo ya kuwaaga. Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipokea shada la maua kutoka kwa Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti…

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA NHIF BW. EMMANUEL HUMBA YAFANA SANA JIJINI DAR

1Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua mchango wake akiwa mwanzilishi wa mfuko huo wakati wa hafla ya kuwaaga viongozi na wafanyakazi wastaafu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki , Mzee Emannuel Humba aliwaasa wafanyakazi wa mfuko huo kushikamana na kufanya kazi kwa kujituma ili kuhakikisha mfuko huo unafikia malengo, Katika hafla hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF yakabidhi shuka za mil. 3.5/-

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Tabora, umeikabidhi Hospitali ya Rufaa Kitete msaada wa shuka 150 zenye thamani ya sh milioni 3.5. Akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Habarileo

NHIF,KfW wakabidhi vifaa tiba vya mil 989/-

NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid leo amekabidhi vifaa tiba vinavyotumika katika afya ya wanawake wajawazito na watoto vyenye thamani Shilingi 989,128,354.40 kwa mikoa ya Mbeya na Tanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Wazee wamzawadia Lowassa ng’ombe

EdwardLowassaNa John Maduhu, Mwanza
BARAZA la wazee Wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza, limempatia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ng’ombe wawili ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), muda ukifika.
Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini hapa, wakati wa kupokea mrejesho wa Umoja wa Shirika la Machinga Mwanza(SHIUMA), waliokwenda wilayani Monduli, mkoani Arusha kumshawishi Lowassa...

 

10 years ago

GPL

Mashabiki wamzawadia gari msuva

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, kwa miezi kadhaa sasa amekuwa akimiliki gari aina ya Toyota Altezza, sasa imebainika kuwa kumbe alipata gari hilo kutoka kwa mashabiki wa timu yake na siyo viongozi wa Yanga. Msuva ambaye amekuwa kwenye kiwango kizuri katika siku za hivi karibuni kiasi cha kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Yanga, amefunguka jinsi...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali si shwari Tughe Taifa

Hali si shwari katika Chama cha Wafanyakazi wa Afya na Serikali Kuu (Tughe), baada ya Baraza lake Kuu la Taifa kuwasimamisha viongozi wakuu hadi mkutano mkuu wa chama hicho utakapoitishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani