Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wamzawadia Lowassa ng’ombe

EdwardLowassaNa John Maduhu, Mwanza
BARAZA la wazee Wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza, limempatia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ng’ombe wawili ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), muda ukifika.
Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini hapa, wakati wa kupokea mrejesho wa Umoja wa Shirika la Machinga Mwanza(SHIUMA), waliokwenda wilayani Monduli, mkoani Arusha kumshawishi Lowassa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema akishindwa kupata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa awamu ya tano ataenda kijijini kwake kuchunga ng’ombe.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa

>Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.

 

9 years ago

Raia Mwema

Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

KUNA msemo kuwa; “Penye wazee haliharibiki neno”.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MAMA REGINA LOWASSA USO KWA USO NA MWANA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE

Mama Regina Lowassa leo alikuwa Chimala, Mbarali akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbarali, Liberatus Mwang'ombe "Libe". Akiongea na wana Mbarali mama Lowassa amesema mwang'ombe ni kijana mweledi, msomi, na mwenye maono na Mbarali; hivyo basi amewaomba wana Mbarali wasimpoteze Mh. Mwang'ombe. 
Mama Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shukrani zake kwa mama Lowassa kufika Mbarali alisema "Mbarali ina wapiga...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe TZ

Wanawake Tanzania wapiga hatua na kujiimarisha katika mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe.

 

10 years ago

GPL

Mashabiki wamzawadia gari msuva

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, kwa miezi kadhaa sasa amekuwa akimiliki gari aina ya Toyota Altezza, sasa imebainika kuwa kumbe alipata gari hilo kutoka kwa mashabiki wa timu yake na siyo viongozi wa Yanga. Msuva ambaye amekuwa kwenye kiwango kizuri katika siku za hivi karibuni kiasi cha kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Yanga, amefunguka jinsi...

 

9 years ago

Habarileo

FBF wamzawadia bingwa Umitashumta

BINGWA wa Michezo ya Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta), Tumaini James juzi alizawadiwa baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa riadha taifa.

 

10 years ago

Michuzi

Tughe NHIF wamzawadia Humba mil.10

 Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba akisalimiana na wafanyakazi wa mfuko wakati wa hafla ya kumuaga ambapo Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kimemkabidhi zawadi ya sh. milioni 10 aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko huo, Emmanuel Humba kutokana na kuthamini mchango wake kabla hajastaafu. Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la NHIF, Gabriel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani