Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema akishindwa kupata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa awamu ya tano ataenda kijijini kwake kuchunga ng’ombe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 May
January: Nikishindwa urais CCM narudi jimboni
Na Mwandishi Wetu, Lushoto
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema kuwa akishindwa katika mchakato wa kura za maoni za kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), atarudi jimboni kuendelea kuwatumikia wapiga kura wake.
Kutokana na hali hiyo January ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, amewataka wananchi wake kuwapuuza watu wanaopita na kudai kuwa wanataka ubunge kwa kuwa yeye anatajwa katika kinyang’anyoro cha urais ndani ya CCM.
Kauli hiyo aliitoa juzi...
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Wazee wamzawadia Lowassa ng’ombe
Na John Maduhu, Mwanza
BARAZA la wazee Wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza, limempatia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ng’ombe wawili ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), muda ukifika.
Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini hapa, wakati wa kupokea mrejesho wa Umoja wa Shirika la Machinga Mwanza(SHIUMA), waliokwenda wilayani Monduli, mkoani Arusha kumshawishi Lowassa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NBDDTkz3yhY/U-KfgwRjf3I/AAAAAAAAHQ0/1wxbgC_Ind8/s72-c/Vote+Libe.jpg)
Mahojiano na mgombea urais wa jumuia DMV, Liberatus Mwang'ombe
![](http://2.bp.blogspot.com/-NBDDTkz3yhY/U-KfgwRjf3I/AAAAAAAAHQ0/1wxbgC_Ind8/s1600/Vote+Libe.jpg)
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Mgombea urais wa DMV Ndg. Liberatus Mwang’ombe alivyotembelea hospitali Tanzania
Liberatus believes “CHARITY STARTS AT HOME”
Katika muendelezo wa kusaidia nyumbani kama imani yangu ya kimsingi; ninaamini kuwa, “binadamu tulizaliwa tushirikiane na tusaidiane kutatua matatizo na sio kutengana wala kushindana.”
Mgombea wa Uraisi wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bw. Liberatus Mwago’mbe wakwanza (kusoto) akiwa na Dr. Kingslaw (katikati) na Nurse kabla ya lecture katika hospitali ya Muhimbili
Kwenye safari yangu ya Tanzania 2011 na 2013 nilipata fursa ya kutembelea hospital za...
10 years ago
Habarileo30 Nov
Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-Np33ARhG7zY/ViFR84RuxnI/AAAAAAAAWjM/e6onglq0Sq4/s72-c/IMG-20151016-WA0089.jpg)
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Nakwenda kumuongezea nguvu Pluijm- Mwambusi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7Nag29oz903JM-USQ3-tiEeDSn4Cq3Ww9rb1*YSF0e8bGPtscV-XFRH3O6LIz*SWZmWMQjNkah5veL8fPLx5U9gwl/ytyty.jpg)
Pluijm: Nakwenda kumleta mrithi wa Msuva
9 years ago
Habarileo21 Oct
Seif: Nikishindwa kwa haki nitampongeza mshindi
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema matarajio yake makubwa kwamba Uchaguzi Mkuu utakuwa huru na haki na yeye atakuwa wa kwanza kumpongeza atakayeshinda.