Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seif: Nikishindwa kwa haki nitampongeza mshindi

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema matarajio yake makubwa kwamba Uchaguzi Mkuu utakuwa huru na haki na yeye atakuwa wa kwanza kumpongeza atakayeshinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAGUZI UFANYIKE KWA MISINGI YA HAKI NA USAWA- BALOZI SEIF

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.Picha na –OMPR – ZNZ.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba kauli za baadhi ya wanasiasa wakati wanapokuwa majukwaani za kupalilia cheche  za kutaka kuibua vurugu zisiwashitue Wananchi  kwa vile Serikali itaendelea kuwa makini...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema akishindwa kupata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa awamu ya tano ataenda kijijini kwake kuchunga ng’ombe.

 

10 years ago

Mtanzania

January: Nikishindwa urais CCM narudi jimboni

makambaNa Mwandishi Wetu, Lushoto
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema kuwa akishindwa katika mchakato wa kura za maoni za kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), atarudi jimboni kuendelea kuwatumikia wapiga kura wake.
Kutokana na hali hiyo January ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, amewataka wananchi wake kuwapuuza watu wanaopita na kudai kuwa wanataka ubunge kwa kuwa yeye anatajwa katika kinyang’anyoro cha urais ndani ya CCM.
Kauli hiyo aliitoa juzi...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA KWA MAHESABU BORA NCHINI KWA ZAIDI YA MAKAMPUNI


 Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani  Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani  ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti  Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...

 

10 years ago

Vijimambo

Master J asema sio haki kwa msanii kurekodi wimbo kwa laki 2 na kushoot video South kwa milioni 25

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amekuwa mstari wa mbele kupaza sauti kuhusiana na kutokuwepo kwa usawa kati ya watayarishaji wa muziki na wasanii nchini.Master J ameiambia Bongo5 kuwa kuna watayarishaji ameshaona wanakosa moyo wa kufanya kazi kutokana hali hiyo.“Tanzania maprodyuza ni maskini, eti wasanii wana hela kuliko producers hii ni industry gani,” amehoji Master J. “Kwa sababu hapa hizi sheria zilizopo hazimlindi producer ndo maana anadharaulika. Huyo huyo msanii yupo...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema : Lowassa mshindi kwa asilimia 61

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai mgombea wake wa urais, Edward Lowassa anayeungwa mkono na Ukawa ataibuka na ushindi wa asilimia  61 katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo.

 

9 years ago

Vijimambo

MKISI AIBUKA MSHINDI KWA MARA YA NYINGINE

Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge uliofanyijka jana katika kanisa la Moravian Mjini Vwawa. (Picha na Kenneth Ngelesi)Mshindi wa nafasi ya kwanza uchaguzi wa marudio kura za maoni wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya chma cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Jimbo la Vwawa Fanuel Mkisi akiwa juu ya gari huku akipunga Mikono kwa wafuasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani