January: Nikishindwa urais CCM narudi jimboni
Na Mwandishi Wetu, Lushoto
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema kuwa akishindwa katika mchakato wa kura za maoni za kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), atarudi jimboni kuendelea kuwatumikia wapiga kura wake.
Kutokana na hali hiyo January ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, amewataka wananchi wake kuwapuuza watu wanaopita na kudai kuwa wanataka ubunge kwa kuwa yeye anatajwa katika kinyang’anyoro cha urais ndani ya CCM.
Kauli hiyo aliitoa juzi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Mikakati ya January ilivyozaa matunda
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
The Economist lamtabiria January Urais
JARIDA maarufu duniani la The Economist la Uingereza limebashiri kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Membe, January wahofia urais
![Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Bernard-Membe1.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
Bakari Kimwanga na Asifiwe George, Dar es Salaam
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe na January Makamba ambao wametangazi nia ya kugombea urais mwaka huu, wameanza kuonesha hofu kuhusu nafasi hiyo ya juu nchini.
Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Makamba ambaye ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekonolojia, wamepatwa na wasi wasi kutokana na uwepo wa taarifa za...
11 years ago
Mwananchi09 Jul
January Makamba, Zitto waungana urais
10 years ago
Habarileo22 Oct
January-Nimejipanga kushinda urais 2015
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hakuna mwanasiasa yeyote anayemhofia kuwa kikwazo katika harakati zake za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangaza nia hiyo Aprili mwaka huu. Januari alitangaza nia hiyo alipokuwa akihojiwa katika kituo cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.
*Nape asema hakufanya makosa
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.
Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
January: Sitorudi nyuma kuhusu urais 2015
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/TmOBoStEv1Q/default.jpg)